Huyu dada Ummy Salum sio mjamzito bali anatatizo la kujaa maji kutokana na tatizo la moyo, tumsaidie mwenzetu maana anateseka sana.
Ummy amepata rufaa ya kwenda JKCI Muhimbili lakini kutokana na ukosefu wa Fedha ameshindwa.
Tumsapoti 0763909700- Jumanne Paul ( mume wake).
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola.
Maganya ameeleza hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada kupokewa kwa ziara ya siku tatu mkoani humo.
"Tunataka tuwapige kweli kweli,hatuwezi kuchukua mambo kirahisi kwa hiyo tuwaambie vyama rafiki tunataka tutumie silaha nzito na za kisayansi kuhakikisha tunawashinda kitakatifu na hatutajali kwamba tutumie silaha gani,sisi tutatumia bomu kuua nzi"amesema Maganya
Amewataka wanaCCM kutokuwa na wasiwasi na kwenda kuisemea vizuri serikali kwa kuwa imetekeleza kikamilifu Ilani yao.
Aidha Maganya amesema Chama cha Mapinduzi hakikutaka kuchelewa kumtangaza mgombea wao wa Urais ili kuwa wanachama utulivu wa akili ili kufikilia namna ya kutekeleza Ilani nyingine ya uchaguzi ya mwaka 2025-2030.
Hii ni trial tu picha kamili mtaiona kesho Uwanja wa Jamhuri Dodoma ambapo Vijana tutapata nafasi ya kupita mbele ya Rais wetu @SuluhuSamia kumlaki, kumtia moyo na kumuonesha kua Vijana tunamuunga mkono kwa kazi kubwa anayoifanya, UNAKOSAJE KWA MFANO ??? njoo uwe sehemu ya jambo
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.