Top Tweets for #Wasomi
Atheists - wapinga uwepo wa Mungu Allāh Mtukufu..
Secularists - wapinga Dini ambao hakika yao ni wapinga Mungu
Hizi ndio Dini za #Wasomi wa kidunia wengi leo ima utakuta anapinga uwepo au uwezo wa Mungu au anapinga Dini ya Haki yaani Sheria na Taratibu za Mungu.
Miongoni mwa sababu za Umaskini wa waafrika ni hawa #Wasomi wetu hawa wazee wa kujipendelea vizuri!!
Wakaweka Utaratibu kabisa kiwango cha malipo ni kutokana na Digirii kwa hiyo kama hukusoma wee kufa tuu aahhh🤲!!
Kila kazi ni bora na muhimu zingine hazina digirii itakuwaje?
#WASOMI ✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Taja kirefu Cha neno Mojawapo amabalo unalijua kati ya haya chini apa 👇👇👇👇👇👇👇
1. DNA
2. RNA
3. AC & DC
Leo tena:
#Wasomi wa Africa miyeyusho sana yaani 12% !!!
Hivi ingekuwa ni shamba la ukoo wako ungechukua hiyo 12%??
Sisi waafrika ni jamii ya hovyo sana Akili na Tabia zetu.
Laurent_GBAGBO:
“When I came to power in 2000, I found in the Ivorian oil exploitation contract that Côte d'Ivoire earns 12% on a barrel of oil. In simple English, this means that if you sell a barrel of oil, for example, at 1,000 francs, France gets 880 francs and Côte d'Ivoire gets 120 francs. I took another look at the other port contracts, cocoa, coffee, gold, diamonds, and other contracts. I realize that it's the same system of plunder that exists everywhere. A month after my election, I began discussions with France to obtain equal agreements in all our business. That is, 50% - 50%." France refused. I saw people blushing as if they were being told bad news, and this was seen as a threat to French interests. That's why they fought me and put their friends in power, who continue with the same false agreements to this day.”
Laurent Gbagbo, excerpt from his book "Free for Truth and Justice"

@MsomiKhan18 #Kusoma na bila #kuajiriwa nikawaida kwa #Nchi kama #TANZANIA 🇹🇿 Sababu #population kubwa ya watu wanaomaliza na #nafasi zilizopo...Pia #Mfumo wa #Kiserikali sio #Rafiki kutoshea #Wasomi wote kupata #Ajira kwa ukamili kama WanaoGraduate Nchini.🤔🤔🤔
Ndugu #wasomi jamaa zenu wa #Uzazi_Mpango wanakula walicho panda jamii inaenda kufutika hiyo jahazi lazama
Wanataka na sie tuwe kama wao tuacheni sie na #Uislamu wetu wake 4 watoto 20 riziki anatoa Allāh kazi yetu kufanya sababu tu
Watu ni uchumi watu ni nchi.

Ndugu #wasomi ni Akili ya Kawaida tu haihitaji digrii KUJUA umuhimu wa Ndoa juu ya Dating (Zinaa)!!
Iko hivi:
Jamii yoyote ni Watu na watu wanatoka kwenye familia na familia ni Ndoa ya Me na Ke
Utaona hapo jinsi gani Ndoa ni kitu muhimu Sana kwenye Jamii yoyote
Kataa Zinaa.
“In the absence of information, we tend to jump to the worst conclusions.”
“Kwa kukosekana kwa taarifa, huwa tunarukia kwenye hitimisho mbaya zaidi.”
(Kheirourgos, by @EzekielMillinga )
#books #wasomi #vitabu #EastAfricaTv #tanzania #quoteoftheday #quote
Kwa hiyo waheshimiwa #wasomi Mtu asipo vaa suti na tai au mwanamke asipo kaa uchi akavaa nguo ya kubana Jinzi au top na mini sketi mapaja wazi ndio anaoneka sio Msomi eehh!?
Na akivaa kanzu anaonekana mshamba fulani shehe shehe hohehahe sio!?
Tusilazimishane ujinga tafadhali.
Naongea kwa uzoefu, #wasomi wengi ni wabinafsi mno wanaongoza kwa kuwakata na kuwakata ndugu na jamaa wanapo pata mafanikio
Na wengine wameenda mbali zaidi Mpaka kuwakata na kuwakataa WAZAZI wao walio walea na kuwasomesha kwa tabu
Mfumo wa Elimu tulip nao ni janga na kansa.
Ndugu #wasomi kwa hiyo mkaona bora mtoto alelewe na dada wa kazi halafu nyie mkatafute pesa sio!!
Halafu mnapata pesa au mmkose watoto nao mmewapoteza kimaadili which is which?!
Akili za kuiga na kufuata mkumbo huwaga mtihani sana wallāhi Uzungu au sio
Nani kama mama bwana!
Hivi hii mtoto mdogo chini ya miaka 7 kulelewa na dada wa kazi sio ukatili wa kijinsia ndugu #wasomi?!
Mtoto hamuoni mama yake ila jioni sana na labda asubuhi kama yuko macho au wikendi tu
Mtoto anakosa raha mapenzi deko la mama halafu mnaona sawa tu ndio usomi kweli huo?!
“I wonder how the whites successfully convinced Africans that Polygamy is a sin but Homosexuality is a human right." ~ Kim jong-un (supreme leader of North Korea)
"Africans should learn how to practice their own religion and culture until D-Day Africans will start practicing their own religion and culture they will never develop or make a head way." ~ Kim jong-un
What are your thoughts on this?

Tweets za kejeli ni chache kuliko za watu kuwa inspired na mimi,ni namna gani inaonesha wasomi wamekubali kujifunza & kutengeneza maisha Yao kiuchumi,always kelele hazikosekani lakini lengo ni nchi hii wasomi wakombolewe either kiuchumi,kifikra na mawazo,kimaisha! Aluta continua
動く水乃です👘
#wasomi
いとエモし👘❤️
#WASOMI

マーメイドフェスタ、来てくださった方々、お写真撮って下さった方々本当にありがとうございました( ・ᴗ・̥̥̥ )💗
着物ファッションショーは初めてでしたが、WASOMIさんの可愛い着物を着て出演出来てとても嬉しかったです👘
これからも頑張ります。
#WASOMI

今日はマーメイドフェスタ✨
ありがとうございました💗💗
初めて同じ事務所の方と交流もできて
すっごい楽しかったです🥹🩷
みなさんのwasomiさまの
着物姿素敵すぎました😻🫶🏻
またよろしくお願いします❤️
#wasomi #マーメイドフェスタ
#officek2 #jc2

速報!!!マーメイドフェスタ!!
WASOMIさまの可愛い着物👘❤️
出番は14時からです~🧜♀️✨🤍
#WASOMI

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers












