Karne ya 21 bado tuna idadi kubwa ya watu wanaoamini katika wizi wa nyeti tena wanajadili kwa wiki nzima na media zinaripoti kwa kishindo kabisa, halafu hawaamini katika Sayansi inayopeleka watu mwezini kupitia mission ya Artemis II hii ni hatari kubwa sana. Lazima tujitafari.
@godbless_lema Nmeshawahi kumsikiza mara kadhaa ni kama huwa ana hubiri flan hivi Muda akihutubia but all in all Vitabu vya Dini vinatumika vibaya. Kuna point utasikia usichanganye Dini na Siasa But anayesema ivo utasikia kajisahau anarudi na kuanza kuchanganya