Top Tweets for #WhereIsMbise

Ccm ni Kama kaini yule wa Zamani
Kaka yake na yule Abeli
Mungu alimwambia atakuwa mtu asiye na vikao
Mnataka Kaini awe na Vikao?Never
Mungu alimuuliza Kaini yuwap nduguyo na Sisi tunauliza MaCCM
#WhereIsSoka #WhereIsMbise #WhereIsMlay #WhereIsKipanya #WhereIsChaula

Baba Chaula amepigiwa simu na mtu asiyejulikana atoe milioni 3 mtoto wake apatikane.

HAKI ZA BINADAMU: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kutokana na kuongezeka kwa taarifa za matukio ya Watu kutoweka na wengine kudaiwa kutekwa, kinashauri Tanzania iridhie Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Ulinzi kwa Watu Wote dhidi ya Kutoweka wa Mwaka 1994
Mkurugenzi wa #LHRC, Dkt. Anna Henga amesema โMatukio ya utekaji ni moja ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu. Matukio hayo yameacha familia za Wahanga katika hofu kwa kutojua hatma ya wapendwa wao. Pia, yamezidi kuleta taharuki katika jamii zetu mpaka kusababisha vurugu na ukosefu wa amani katika baadhi ya maeneo nchini.โ
Soma https://t.co/5vAEXX3EQU
#HumanRights #Accountability #Governance #JamiiForums
DAR: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (#TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo.
Mwabukusi amezungumza hayo wakati akihojiwa na Kituo cha Redio cha Crown FM
Soma https://t.co/ryyCvmdNPR
#JamiiForums #JFHakiRaia #Governance #JFMatukio
Uko wapi @DEUSDEDITHSOKA wapenda haki tumekukosa sana .Nimemwomba Mungu akutunze kwa ajili ya taifa letu

Ni vijana wenzetu lakini hadi leo hawajulikani waliko kama wako hai au lah.
#SokaYukoWapi
#WhereIsMlay
#WhereIsDiniozKipanya
#WhereIsChaula
#WhereIsMbise

Last Seen Hashtags on Sotwe
SessizlikBozuluyor
Seen from Turkey
kulisempak
Seen from Indonesia
minichatt((*))()(**()(*))(*)filter:videos
Seen from Netherlands
mulanvuitton
่ฟท็ฉ
Seen from Thailand
donghua3d
Seen from Malaysia
minichatt
Seen from France
brosis
Seen from United States
์๋ง๋ฅ์
Seen from Korea
ๅฎฟ่
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers











