Top Tweets for #bfmeme





#BfMemeπ
"Sio vibaya nikawamegea hii NYETI ifatayo,ebu nyoosha mkono juu kama ushawahi kukutana nayo.
Maji ya 50,300 na mia 2,Nawapa NYETI mifuko na makopo ni DILI.
Watu wanaokota,wanaokota wanauza tena!
Ukinywa Maji unajiharishia toka DAR mpaka KENYA πππ"
#WagosiWaKaya
#BfMemeπ
Wagosi wa kaya wana ngoma yao ilitoka baada ya ile Kashfa ya EPA.Mkoloni alitaka kama zile pesa wameamua kuzirudisha basi waziweke kwenye account ya WAGOSI.ππππ
Unaitwa 'Bei Juu'
#BFMemeπ
Marehemu Mr.EBBO alikuwa na wimbo wake unaitwa 'BODABODA'.
Kimsingi huu wimbo WOTE lilikuwa tangazo la kuhamasisha watu kupanda usafiri wa pikipiki maarufu BODABODAππ
Radio zote zilicheza tangazo hili BURE.ππ
#BfMemeπ
Wakati SUGU anaachia ngoma yake 'Dar Dsm ft Balozi' Nauli ya Daladala ilikuwa sh.150(Mia na hamsini)
ππππππ
#BFMemeπ
Darkmaster alitunga wimbo 'Nimepamiss Home' ambao ndani yake anamtahadharisha #MarcoChali akifika home kwao awe chonjo na dada yake ni Mapepe kinoma!!π
Ni kiwango cha kuwa mkweli kilichopita mipaka!
ππππππππ
#BFMemeπ
Kwenye 'Lakuchumpa' Godzilla anasema wachawi huwa wanakuja nyumbani kwake usiku na kinachowaleta sio kumloga ila ni kushangaa kiatu chake LAKUCHUMPA ambacho katoa mtumbani karume.
πππππππππ
Last Seen Hashtags on Sotwe
momson()*****************************************************
Seen from Norway
mlbb #nsfw zhuxin
Seen from Indonesia
momson
Seen from Thailand
η«―εη―θΏι
Seen from Australia
ΰΈ£ΰΈ²ΰΈ‘ΰΈΰΈ΄ΰΈΰΈΰΈ£ΰΈ²
Seen from Thailand
ensestpaylasΔ±m
Seen from Netherlands
ΩΩΩ_Ω
ΨΨ§Ψ±Ω
_ΨΉΨ±Ψ¨Ω
omegle #nolimit()***
Seen from United States
Omegle
Seen from United States
γγ€γ¬γ°γ¬γͺγΏγΌγ
Seen from Japan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.6M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
109.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
106.9M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.7M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.3M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.4M followers











