Top Tweets for #dfmtz
Katika kipindi chetu siku ya leo tunakutana na Mwl. Richard Mndala akitueleza siri kubwa ya mafanikio kwa kijana ambayo wengi tunaipuuza. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA Ni D-Youth pekee katika Deep FM
#dfmtz #youth #development #growth #selfawareness #tanzania

Wengi tunafahamu teknolojia lakini hatujui kiasi gani inaweza kusaidia ukuaji wa biashara zetu. Sikiliza kipindi cha D-Business siku ya leo tukiwa na mgeni wetu Mbutho Chibwaye akitufafanulia zaidi. Ni kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz #business #technology #wealth #Tanzania

Leo katika kipindi cha D-Testify tumekutana na Imma Kuleba, akitueleza mapito ya kutokea kuishi na wachawi mpaka kumtumikia Mungu. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz #testimonials #worship #faith #believer #JesusChrist #God #Tanzania

Bila kukosa ungana nasi jioni ya leo tukiwa na mgeni Dr. Mitimingi katika kipindi cha Deep Love, tukijadili mambo yatokannayo na mahusiano nje ya maagano ya Mungu. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz #marriage #relationship #love #life #faith #JesusChrist #Tanzania

Leo katika Deep ibada tutakuwa na Askofu George Butta, akituelezea mapito makali aliyoyapitia mpaka kufikia wakati anataka kuchukuwa maisha yake. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz #testimonials #worship #faith #JesusChrist #God

Jiunge nasi leo jioni katika kipindi cha D-Youth tukikutana na Nyakorema Rioba, akitueleza jinsi gani vijana wanatakiwa kujiandaa mapema kwa fursa zitakazo jitokeza mbeleni. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz #youth #growth #transformingyourdestiny #Tanzania

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



