Inaonekana nyakati hizi kwaya tumezisahau na waimbaji binafsi kupewa nafasi kubwa kwenye makanisa yetu, fahamu umuhimu wa kwaya kanisani leo jioni saa 11 kupitia https://t.co/jKJy1iGalA ndani ya D-Ibada.
#dfmtz#gospel#music#praise#worship#love#God#JesusChrist#Tanzania
Katika kipindi chetu siku ya leo tunakutana na Mwl. Richard Mndala akitueleza siri kubwa ya mafanikio kwa kijana ambayo wengi tunaipuuza. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA Ni D-Youth pekee katika Deep FM
#dfmtz#youth#development#growth#selfawareness#tanzania
Je, unafahamu uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako? Mgeni wetu kwenye D-Testify siku ya leo ni Alex Kishimba akituelezea vita yake na sigara mpaka kumtumikia Mungu wake. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz#faith#worship#believer#health#God#Tanzania
Katika Deep Love siku ya leo tunakuletea mafundisho ya Mwl Peter Mitimingi akitueleza ya kwamba maamuzi magumu ndio yanayojenga mahusiano imara. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz#love#life#relationship#marriage#faith#God#Tanzania
Je, umewahi kudhani ya kwamba watu wote wanaokuzunguka ni adui zako, lakini amini siku zote Mungu ana kusudi na wewe. Joyce Ombeni anatupa ushuhuda leo jioni katika D-Testify. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz#testimonials#faith#life#believe#God#Tanzania
Wengi tunafahamu teknolojia lakini hatujui kiasi gani inaweza kusaidia ukuaji wa biashara zetu. Sikiliza kipindi cha D-Business siku ya leo tukiwa na mgeni wetu Mbutho Chibwaye akitufafanulia zaidi. Ni kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz#business#technology#wealth#Tanzania
Katika kipindi cha Deep Love Jumatatu ya leo tutakuwa na Dr. Peter Mitimingi akitueleza nguvu ya maamuzi katika mahusiano. Usikose kufahamu ni wapi wengi wanakosea katika mahusiano. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#dfmtz#love#life#worship#faith#God#Tanzania
Leo katika kipindi cha D-Youth tutakuwa na mgeni Emmanuel Makwaya akitueleza ni jinsi gani kuna umuhimu zaidi tukiamua kufanya jambo kwa kutumia ujuzi wetu binafsi. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#Youth#Growth#Development#Tanzania
Leo jioni katika kipindi chetu cha Deep Ibada tunakutana na mgeni wetu Evangelist Justin Kimambo akitufumbua macho kuhusu matendo mema yakifanywa sahihi na matokeo yake katika maisha yetu. Sikiliza kupitia https://t.co/jKJy1iGalA
#worship#praise#faith#Christ#God#Tanzania
Serikali ya #Tanzania imejitenga na kampeni ya kuwakamata na kushtaki mashoga inayoongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania inadai kampeni hiyo ni mawazo binafsi ya Makonda na si msimamo rasmi wa serikali.#dfmupdates