Top Tweets for #eaDrive
Usikose kusikiliza #EADrive kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 10 : 00 jioni hadi saa 2 : 00 usiku.
Waziri wa Afya, @umwalimu leo amethibitisha kupatikana kwa mgonjwa mmoja mwenye virusi vya Corona nchini.Pamoja na hilo ametoa agizo kwa hospitali zote za serikali na zisizo za serikali
#EADrive #MwanamkeKinara
@samakisamaki_tz @PrecisionAirTz @safarilagertz @alaftanzania

Kuna baadhi ya vijana wamekuwa wakivamia magari ya mafuta barabarani na kuiba mafuta kwenye matanki hayo, wamerudi tena baada ya kudhibitiwa kipindi cha nyuma.
Serikali imetoa tamko.
#EADrive
#MwanamkeKinara
@samakisamaki_tz @PrecisionAirTz @safarilagertz @alaftanzania

Kwa familia nyingi ni rahisi mume na mke kuchanganya mengine yote kati yao isipokuwa 'kipato' kwaajili ya matumizi ya familia.
Unafikiri ni kutoaminiana au ugumu uko wapi kwenye hili?
#EADrive
@samakisamaki_tz @CastleLiteTz @PrecisionAirTz @MeridianbetTZ @VodacomTanzania

'Watu wanaosambaza taarifa bila kuzihakiki wana matatizo ya akili ambayo yanawafanya kuwa na tabia za namna hiyo, jinsi ya kuimaliza hiyo hali ni kuhakiki kwanza taarifa ndipo uisambaze' - Ian Diallo - Mtangazaji
#EADrive

"Hakuna kitu kinakera kama mtu kusambaza ujumbe ambao hajaufanyia research kuhakikisha ukweli wa taarifa hiyo" - Justin Kessy - Mtangazaji.
#EADrive

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango amesema ni marufuku kwa madalali na waendesha minada kuendesha minada ya hadhara pasipo kuwa na leseni iliyosajiliwa kwa njia ya kielektroniki
#EADrive
@samakisamaki_tz @castlelitetz @PrecisionAirTz @MeridianBetTZ @VodacomTanzania

'Kuna watanzania sio wastaarabu wanatabia ya kubadilishana watoto ili kupata unafuu kwenye foleni kupata kitambulisho cha mpiga kura na hawataki kusubiri' - Giveness Aswila - Mkurugenzi wa Habari na Elimu kwa Mpiga kura NEC
#EADrive

'Wakati wa zoezi la hili tulikagua vifaa na mfumo kuwa hauna tatizo, mpaka sasa tatizo mashine hazina tatizo ila tatizo ni la watumiaji na nimepita baadhi ya maeneo utakuta watumiaji elimu yao ni ndogo' - Giveness Aswila - Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Mpiga kura NEC
#EADrive

'HatuongezI siku za kujisajili kwenye daftari la mpiga kura kwa sababu mashine zilisumbua, Dar es salaam kuna tatizo moja watu huwa wanasubiri siku ya mwisho ndiyo waje kwa wingi.' - Giveness Aswila - Mkurugenzi wa Habari Elimu kwa Mpiga kura NEC
#EADrive

Tupo live na Giveness Aswile, Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi tukijadili changamoto katika zoezi la uandikishaji.
Karibu kwa maswali
Sikiliza #EADrive
#Samakisamaki @castlelitetz @precisionairtz @MeridianbetTZ @VodacomTanzania

'Kuna rafiki yangu alikuwa anajifanya mjuaji sana,yaani mjuaji wa kila kitu.Kuna siku tukamuwekea mtego kwa kutaja ugonjwa kwa kizungu'.Na hapo ndipo tulipomkamata.
Sikiliza #EADrive kufahamu zaidi.
@SamakiSamaki @CastleLiteTz @PrecisionAirTz @MeridianBetTZ #NogeshaMahaba

Ukiona wakwe wanacheza sana Siku ya harusi ujue umechukua tatizo lao.
#UselessFact #EaDrive #NogeshaMahaba
Wakazi wa kijiji cha mwatehi kata ya ndumbwe wilaya ya mtwara wakosa huduma ya simu za mkononi mpaka kufikia jana.
Kwanini?na ni njia gani wanatumia kuwasiliana na ndugu na jamaa zao?
#EADrive
@SamakiSamaki @CastleLiteTz @PrecisionAirTz @MeridianBetTZ #NogeshaMahaba

Rais Magufuli, ametaka kukomeshwa kwa tatizo la kubambikiwa watu kesi na ucheleweshaji wa kesi kwa sababu ya upelelezi na kumuagiza Mwakilishi wa IGP kuyashughulikia mambo hayo.
Nini kifanyike kukomesha watu kubambikiwa kesi?
Sikiliza #EADrive hewani mpaka saa 2:00 usiku

Serikali yatoa ufafanuzi ilipofikia kwenye uwekwaji wa kamera za CCTV kwenye vituo vya polisi ili kufuatilia mwenendo wa utolewaji wa huduma kwa raia.Wamefikia wapi? Na lini zoezi litakamilika?
Sikiliza #EADrive
#Samakisamaki @CastleLiteTz @PrecisionAirTz @MeridianBetTZ

Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspandaa
Seen from United States
δΈ»ε₯΄
Seen from Singapore
spankingfaces
Seen from Italy
teenageers
CaughtOnCamera
Seen from United States
ΰΈͺΰΈ§ΰΈ’ΰΈΰΉΰΈ²ΰΈ£ΰΈ±ΰΈ
Seen from Thailand
lazkizi
Seen from Turkey
minichatt #snapchat #mgai #anxiouspandaa
Seen from United States
ballbusting
Seen from United Kingdom
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers



