Mida ya kuzungumza na Majirani ๐๏ธ
Tuko live kupitia YouTube pale @CrownMediaTZ kuanzia saa sita mpaka nane mchana kupitia 92.1 Crown.
Tusikilize online kupitia radio box/ garden au https://t.co/qVoAA7kuMy na kwenye kisimbuzi cha Azam channel no: 67 ๐ก
#SemaNaKinara
Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions. Like few other leaders anywhere, he was willing to choose the path of peaceful reconciliation without compromising his core values. Through his life, Raila Odinga set an example not just for Kenyans, but across Africa and around the world. I know he will be missed. Michelle and I send our deepest condolences to his family and to the people of Kenya.
Hedhi ni afya na utimilifu kwa Mwanamke. Upatikanaji rahisi wa vifaa vya kujihifadhi kwenye siku zetu na mazingira wezeshi yanaleta furaha/ unafuu ndio maana tunasema โWezesha Mazingira ya Hedhi Salama yenye Utu kwa Wasichana na Wanawake Woteโโ๏ธ
#InternationalMenstrualHygieneDay
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa โ Simba Sports Club.
Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na awape uwezo wa kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi ili waweze kucheza kwa nidhamu, uhodari, na ushindi.
Tumefanya maandalizi yote kwa kiwango cha juu kadri tulivyoweza, tumefanya kazi kwa bidii, lakini sasa tunamtegemea Allah peke yake.
Ewe Mola wetu, ni Wewe tu tunayekuabudu, na ni Kwako tu tunakuomba msaada. Hatuna wa kumkimbilia ila Wewe. Tunakuomba utusaidie tupate ushindi katika fainali hii, utukirimu kwa kheri, na utujaalie furaha hii ambayo mioyo yetu inaitamani.
Na tunakubali, Mola wetu, kuwa Wewe ndiye mbora wa waandishi wa mipango, na hakika mipango Yako ni bora kuliko yetu. Tunakuomba utupe lililo bora kwa sisi โ khair โ na tukubali kwa moyo mmoja yale utakayotuandikia, kwa sababu imani yetu iko Kwako tu, ee Mwenyezi Mungu.
#NguvuMoja
#SimbaSC