Top Tweets for #eddo_teller
@Neypaul01 Mzee wa makamo alisema linahitajika tabasamu moja la masikini ili matajiri waseme furaha sio pesa..
#eddo_teller* @Dain_tz
sehemu yoyote ambayo inaonekana kuna uhitaji wa usawa basi elewa siasa ndo inapofanyika hapo..✍🏿#eddo_teller
@ClaraAloyce
@FKihamu
kuna siku utaua kwa ajiri ya usalama wao wakishapata amani wanakumbuka kua wewe ni muuaji…✍🏿#eddo_teller🍂
@ClaraAloyce
Tunaishi katika dunia ya malipizi basi kama huwezi kulipa kisasi kwakua wewe ni mwema basi usiwe msimuliaji.✍️#eddo_teller #dain_tz
Kinachoumiza zaidi kwenye utafutaji wetu ni kwamba baadhi yetu tutajivunia mafanikio yetu tukiwa hatuna mzazi mmoja Mungu awape nafasi wafurahie hata huko.✍️ #eddo_teller #dain_tz
Mnaendelea kutuombea mabaya ila wengi wenu hamjui tulishapewa karata ngumu sana mwanzo wa mchezo na sasa tunalia last card.✍️ #eddo_teller #dain_tz
Bila kupinga wewe ni mzuri sana ila hiyo ya kudhani wewe ni mzuri kwakila mtu ndo inayofanya tukuone mbaya.✍️ #eddo_teller
#dain_tz
ili kupunguza chuki na maneno baadhi ya ndugu ni heri tukutanage kwenye misiba na harusi tu..✍🏿#eddo_teller🍂
@ClaraAloyce
Mkimuona mwambieni pilipili iliyowekwa kwenye mboga haifai kwenye uji sio kila sehemu atapendwa....✍🏿#eddo_teller🍂
@ClaraAloyce
Kuna muda lazima mwenza wako azijue nyakati siwezi mbembeleza Mungu na wewe pia...✍🏿#eddo_teller🍂
@ClaraAloyce
Usipunguze watu kwenye maisha yako punguza yale mazoea uliyokubali yawepo katikati yenu inatosha..✍🏾#eddo_teller🍂
@ClaraAloyce
Kama maisha yakirudi nyuma ukirudi pale tulipokutana siku ya kwanza basi mimi sitotokea tena….✍🏿#eddo_teller🍂
Punguza dharau mtaani unaweza kua mwanaume na ukawa na uzao wakike..✍🏿#eddo_teller
Sisi wengine maskani inabidi tutoke ndo jiko liwake kwahyo mnapotuona mjini eleweni tunafanya bila kuchoka…✍🏿#eddo_teller
Kuna muda na mlaumu mama mkwe kwanini hakukuzaa siku moja na mimi ili tuwe mapacha kamili…✍🏾#eddo_teller
Last Seen Hashtags on Sotwe
Permalocked
breedingkink
Seen from Turkey
tenchimuyo
Seen from United States
DejaElCelular
Seen from United States
gay
ココスキー
Seen from United States
ThankYouSchoolNurses
Seen from United States
zelal
Seen from Turkey
Happy60thBirthdayMadsMikkelsen
Seen from United States
AnalMasturbation
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

