Najaribu kufikiria hapa tofauti kuhusu yanayo endelea nchini kwetu. Vipi kama yote tunayoyaona ni game planning ya kutafuta tena publicity ya chama?.
Nikimaanisha alitakiwa apatikane kiongozi mmoja ndani ya chama apate sympathy ya wananchi ili iwe rahisi kumpandisha 2030.