Top Tweets for #fikoshi
#Fikoshi
✍️ Hili chuma ni aina gani? Maana ukiliangalia vizuri ni..
▫️ Yutong
▫️ Zhongtong
▫️ Polo
▫️ Kinglong
✍️ Hapa ukitaka kukosana na wanyakyusa wa Mbeya iseme vibaya hii chuma halafu uone. Ule utepe mweupe wa sura yake😀🤷 Kama pembe ya Ndovu.
✍️ Hili Mwanza 🔁 Mbeya mnaweza kwenda wiki zima, huwaga halina haraka na wana-Mneya wenyewe pia huwaga hawana haraka na chuma zao.
✍️ Sijui ni kwanini hii ruti wakurugenzi wanaiogopa kabisaa. Yaani vyuma huku ni Gonga nyundo. Ukifika salama unashukuru.

@TBoundBuses Duh hyo #specialhire imechochora wakati mfalme wa kufika mwanza saa 8 usk kalala usingizi kachoka apo mbio #fikoshi
Ila wazingatie tu sheria barabarani na eneo husika sio kupiga gia tu embu kidg polisi ya iringa zisambazwe maeneo mengine kwaajili ya ishu ya usalama road as mfano
#Ajali taarifa za awali ni kuwa imetokea asubuhi ya leo maeneo Katikati ya Chimala na Igurusi mkoani Mbeya ikihusisha mabasi mawili ya abiria yaani #Fikoshi(Mbeya Mwanza), #SpecialHire na Lori mbili za mizigo.
Chanzo bado hakijajulikana.
#FIKOSHI
Mwanza Karagwe
@surveyormkulima 📸


Chuma kutoka Mbeya imefumwa na ya kutoka Songea ..... zote uelekeo Mwanza 🙌
#SuperFeoExpress || #Fikoshi
Dodoma📍




Kutoka #Mbeya mpaka #Mwanza vyuma ndio vimeingia Buzuruga mida hii na ukali kama wote.
#PremierLine na #PremierExpress
#Fikoshi

#Fikoshi
Mbeya 《》Mwanza

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers













