Top Tweets for #haramu
NI #HARAMU KWA BINTI WA KIISLAM KUOLEWA NA MWANAUME #MKRISTO AU MYAHUDI AU KAFIRI YEYOTE💦📚
[_wakifanya ni wanazini mpaka waachane au mpaka waingie kaburini_]
>>Iko clear kwenye Quraan na haina kubagain wala kukata rufaaa 🤔
🫴Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, ni haramu kwa mwanamke Muislamu kuolewa na mwanaume asiye Muislamu, awe Mkristo, Myahudi au mtu wa dini nyingine.
Ushahidi kutoka Qur'ani
Surat Al-Baqarah (2:221):
> “Wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini. Na hakika mjakazi Muumini ni bora kuliko mwanamke mshirikina hata akipendeza kwenu. Wala msiwaoze wanaume washirikina mpaka waamini...”
Surat Al-Mumtahanah (60:10):
Aya hii inaelekeza kwamba wanawake Waumini si halali kwa wanaume #makafiri, wala wanaume hao si halali kwa wanawake Waumini.
Je, Mkristo au Myahudi anahusika?
Ndiyo. Kwa mujibu wa madhehebu manne makuu ya Sunni (Hanafi, Maliki, Shafi'i na Hanbali), mwanamke Muislamu haruhusiwi kuolewa na mwanaume Mkristo au Myahudi.
Tofauti muhimu: Uislamu unaruhusu mwanaume Muislamu kumuoa mwanamke Mkristo au Myahudi mwenye kujiheshimu (Ahlul-Kitab), chini ya masharti ya Sharia. Lakini ruhusa hiyo haimhusu mwanamke Muislamu kuolewa na mwanaume wa dini hizo.
Hivyo, kwa hukumu ya jumla ya Sharia, ndoa ya mwanamke Muislamu na mwanaume asiye Muislamu hairuhusiwi.
MUZIKI NI #HARAMU!!💦📚
Watu wanaofuata matamanio yao binafsi huchagua hukumu za wanazuoni zilizo nyepesi kwa kuchagua wanachokipenda, ili kuwapotosha watu.
Ibn Taymiyyah amesema:
“ Ama anapofanya hivyo kwa ajili ya kujifurahisha na kucheza, msimamo wa Maimamu wanne ni kwamba vyombo vyote vya muziki (ālāt al-lahw) vimeharamishwa (haramu).” Mwisho wa nukuu.
‘Abdullah, mwana wa Ahmad ibn Hanbal, amesema:
Nilimsikia baba yangu akisema:
“Nilimsikia Yahya ibn Sa‘id al-Qattan akisema:
‘Iwapo mtu angefuata kila ruhusa nyepesi ya kisheria (rukhsah)—kwa kufuata maoni ya watu wa Kufa kuhusu kinywaji cha tende kilichochachushwa (nabīdh), maoni ya watu wa Madina kuhusu kusikiliza nyimbo, yaani kuimba, na maoni ya watu wa Makka kuhusu ndoa ya muda (mut‘ah)—au kama baba yangu alivyosema—mtu huyo angekuwa mfasiki.’”
(Masā’il ‘Abdullāh, Na. 1632; Al-‘Ilal, Na. 1455).

Ni kweli #uislamu haukubaliani na mauaji yeyote yale;🖐
We Sheikh wa mchongo;
🫴 ila #maandamano pia ni #haramu ktk uislamu au hujamaliza alif mpaka zaaa _wasalaam 🖐
🫴je hukmu ya mwenye kufanya uasi dhidi ya #mtawala na kuharibu mali za umma na za watu ni ipi ewe sheikh wa matamasha⁉️
QURAN 5:33
إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّـهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَن يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم مِّنْ خِلَافٍ أَوْ يُنفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿٣٣﴾
Hakika #Malipo ya wale wanaompiga vita Allaah na mtume Wake na wakapania kufanya #ufisadi katika ardhi, #wauawe au #wasulubiwe au ikatwe mikono yao na miguu yao kwa kutofautisha au watolewe katika #nchi. Hiyo ndiyo hizaya yao duniani. Na Aakhirah watapata adhabu kuu. (5:33)
🔹️mwenye kufanya ufisadi na uharibufu ktk ardhi au jamii anauwawa we sheikh wa matamasha
_ #majambazi,wauaji,wenye kufanya #uasi dhidi ya watawala, wenye kuleta madawa ya #kulevya kuharibu jamii,mashoga n.k
REJEA UFAFANUZI MZURI KTK TAFSIRI YA #QURAAN YA IBN #KATHIR 📚💦
Anasema ibn kathir rahimahullah:
🫴Aya hii imeteremshwa kwa hali mbalimbali. Kama alivyosema Abū ‘Abdillāh ash-Shāfi‘ī (rahimahullāh):
Alitupasha habari Ibrāhīm — naye ni Ibn Abī Yahyā — kutoka kwa Ṣāliḥ, mtumwa wa at-Tu'āmah, kutoka kwa Ibn ‘Abbās kuhusu #wahalifu wa barabarani (qatā‘u ṭarīq):
_Wakifanya mauaji na kuchukua mali, basi #huawa na kisha #husulubiwa.
_Wakifanya #mauaji bila kuchukua mali, basi #huawa lakini hawasulubiwi.
_Wakichukua #mali bila kufanya #mauaji, basi hukokotwa (hukadiriwa) mikono na miguu yao kwa kuvukanisha (mkono wa kulia na mguu wa kushoto).
_Wakifanya #hofu njiani bila kuchukua #mali, basi hufukuzwa au huhamishwa kutoka katika ardhi.”
🫴HADITHI YA MTUME KTK SAHIH MUSLIM
عَنْ عَرْفَجَةَ، قَالَ سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ;
" مَنْ أَتَاكُمْ وَأَمْرُكُمْ جَمِيعٌ عَلَى رَجُلٍ وَاحِدٍ يُرِيدُ أَنْ يَشُقَّ عَصَاكُمْ أَوْ يُفَرِّقَ جَمَاعَتَكُمْ فَاقْتُلُو"
[ sàhih muslim 1852 ]
Imepokewa kutoka kwa ‘Arfaja ambaye alisema kwamba;
Nilisikia #Mtume wa Allah (ﷺ) akisema:
“atakapokujieni mtu akawakuta mmejikamata na mtu mmoja kama #kiongozi wenu na akataka kukugaweni , basi #muueni yule anayetaka kuharibu mshikamano wenu au kuvuruga umoja wenu.”
[ rejea sahih muslim hadith no 1852 ] 📚💦
🫴MAELEKEO SAHIH YA MTUME NI HAYA HAPA KAMA MTAWALA HATENDI HAKI JUU YENU;
Salama bin Yazid al-Ju‘afi alimwuliza #Mtume wa Allah (ﷺ):
“Ewe Mtume wa Allah, unalionaje jambo hili:
tukipata #watawala wanaotutawala na wanatutaka kutekeleza #haki zao juu yetu, lakini wao wenyewe hawatekelezi #haki zetu juu yao—tufanye nini?”
Mtume wa Allah (ﷺ) akamvuta pembeni na akasema:
> “#Wasikieni na #kuwatii, kwa kuwa mzigo wao utakuwa juu yao, na mzigo wenu utakuwa juu yenu.”
قَالَ سَأَلَ سَلَمَةُ بْنُ يَزِيدَ الْجُعْفِيُّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ يَا نَبِيَّ اللَّهِ أَرَأَيْتَ إِنْ قَامَتْ عَلَيْنَا أُمَرَاءُ يَسْأَلُونَا حَقَّهُمْ وَيَمْنَعُونَا حَقَّنَا فَمَا تَأْمُرُنَا فَأَعْرَضَ عَنْهُ ثُمَّ سَأَلَهُ فَأَعْرَضَ عَنْهُ ثُمَّ سَأَلَهُ فِي الثَّانِيَةِ أَوْ فِي الثَّالِثَةِ فَجَذَبَهُ الأَشْعَثُ بْنُ قَيْسٍ وَقَالَ " اسْمَعُوا وَأَطِيعُوا فَإِنَّمَا عَلَيْهِمْ مَا حُمِّلُوا وَعَلَيْكُمْ مَا حُمِّلْتُمْ " .
[ Rejea sahih muslim 1846 ] 📚💦
TANGULIENI ELIMU BILA KUTANGULIZA HISIA NA HAMASA ZA KIDEMOKRASIA 🖐
🫴HAYO NDIO MAFUNZO YA DINI YA KIISLAMU
SISI WAISLAMU MIONGOZO YETU NI ALLAH KTK QURAAN, MTUME KATIKA HADITHI ZAKE NA MASWAHABA WETU
HATUCHUKUI MAELEKEZO TOKA KWA TEC WALA KANISA,WALA DEMOKRASIA,WALA KWA VYAMA VYA KISIASA , WALA KWA WANAHARAKATI
🫴 #BAKWATA WALIKUA SAHIHI KWENYE HILI KUKATAA KUBEBA #AJENDA ZA KANISA NA CHADEMA _AGENDA ZA KUTETEA MASLAHI YA KANISA NA CHAMA CHAO
"Watu wa kanda ya ziwa mkivua samaki na dagaa mnaitwa wavuvi #haramu, Mkichimba madini mnaitwa wachimbaji #haramu, mkifuga na kupeleka mifugo kwenye malisho mnaitwa wafugaji #haramu. Hii dawa ya No Reforms No Election itakomesha #uharamu wa Kanda ya Ziwa"- Askofu Mwanamapinduzi, kwenye mkutano wa hadhara Nyehunge, #Buchosa
#Lakezone #NoReformsNoElection
Kwenye uislamu ni #haramu kuoa mwanamke #kahaba au #malaya au #changudoa
🫴tabia mbaya zinasuluhisho ila sio kuishi na changudoa
Hakuna mkamilifu duniani,hasa hasa upande wa wanawake hata wewe pia unaeza ukawa na tabia hizo kiburi,ujeuri na majivuno inategema ni kiwango gani
🤏 ila umalaya ni uchafu na uharibifu mkubwa wa jamiii
Kuoa kahaba mnyenyekevu ni bora kuliko kuoa bikira mkorofi na mwenye kiburi.
@jnabdallah @SadateMunyakazi @HarelimanaAK Igihe cyose zidakoreshwa binyuranije n'amategeko ntabwo ari #Haramu, Kuzikoresha nabi uretse no mu gisibo niyo #Haram. Tugire igisibo cyiza kuri twese Hon. Allah akomeze kubungabunga abemera n'igihugu akomeze kutwimana.

@l_lutengano @MariaSTsehai @MwanzoTv Kikosi kazi kipo kwa ajiri kuifanya #haramu ionekane kwamba ni #harali kwa macho ya umma. Tukikatae kikosi kazi kwani Jaji warioba alishafanya kazi ya kukusanya maoni yenu tutumie maoni yake kuunda katiba mpya.
#kikosikazikipuuzwe.
أهلها و هذا حرام عليها
Na Wanawake wengi pia Pindi anapoachwa na kupewa TALAKA basi anafungasha kwa hasira mizigo yake na kwenda Nyumbani kwao Hakika Jambo hili ni #Haramu,
" لا تخرجوهن " ثم قال في الآخر " لا تدري لعل الله يحدث بعد ذلك أمرا "
Allāh Jalla wa'alaa Amesema
hizi kwa masikitiko makubwa ni kwamba pindi anapo mpa TALAKA mke wake humfukuza na kumtoa kwenye Nyumba,
و هذا حرام عليه إلا أن تأتي بفاحشة مبينة
Hakika jambo hilo ni #Haramu Ispokuwa mwanamke huyo afanye uchafu wa wazi (Zinaa),
و كثير من النساء إذا طلقت ذهبت إلى بيت
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers






















