Top Tweets for #mtawala
On December 7th we participated in a discussion on “How to improve your #lifestyle to avoid #cancer.”
Thanks to the hosts of the Beyond the White Coat program on #Mtawala radio and all the listeners who contributed to the topic by calling, WhatsApp and SMS.

Ni kweli #uislamu haukubaliani na mauaji yeyote yale;🖐
We Sheikh wa mchongo;
🫴 ila #maandamano pia ni #haramu ktk uislamu au hujamaliza alif mpaka zaaa _wasalaam 🖐
🫴je hukmu ya mwenye kufanya uasi dhidi ya #mtawala na kuharibu mali za umma na za watu ni ipi ewe sheikh wa matamasha⁉️
QURAN 5:33
إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّـهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَن يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم مِّنْ خِلَافٍ أَوْ يُنفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿٣٣﴾
Hakika #Malipo ya wale wanaompiga vita Allaah na mtume Wake na wakapania kufanya #ufisadi katika ardhi, #wauawe au #wasulubiwe au ikatwe mikono yao na miguu yao kwa kutofautisha au watolewe katika #nchi. Hiyo ndiyo hizaya yao duniani. Na Aakhirah watapata adhabu kuu. (5:33)
🔹️mwenye kufanya ufisadi na uharibufu ktk ardhi au jamii anauwawa we sheikh wa matamasha
_ #majambazi,wauaji,wenye kufanya #uasi dhidi ya watawala, wenye kuleta madawa ya #kulevya kuharibu jamii,mashoga n.k
REJEA UFAFANUZI MZURI KTK TAFSIRI YA #QURAAN YA IBN #KATHIR 📚💦
Anasema ibn kathir rahimahullah:
🫴Aya hii imeteremshwa kwa hali mbalimbali. Kama alivyosema Abū ‘Abdillāh ash-Shāfi‘ī (rahimahullāh):
Alitupasha habari Ibrāhīm — naye ni Ibn Abī Yahyā — kutoka kwa Ṣāliḥ, mtumwa wa at-Tu'āmah, kutoka kwa Ibn ‘Abbās kuhusu #wahalifu wa barabarani (qatā‘u ṭarīq):
_Wakifanya mauaji na kuchukua mali, basi #huawa na kisha #husulubiwa.
_Wakifanya #mauaji bila kuchukua mali, basi #huawa lakini hawasulubiwi.
_Wakichukua #mali bila kufanya #mauaji, basi hukokotwa (hukadiriwa) mikono na miguu yao kwa kuvukanisha (mkono wa kulia na mguu wa kushoto).
_Wakifanya #hofu njiani bila kuchukua #mali, basi hufukuzwa au huhamishwa kutoka katika ardhi.”
🫴HADITHI YA MTUME KTK SAHIH MUSLIM
عَنْ عَرْفَجَةَ، قَالَ سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ;
" مَنْ أَتَاكُمْ وَأَمْرُكُمْ جَمِيعٌ عَلَى رَجُلٍ وَاحِدٍ يُرِيدُ أَنْ يَشُقَّ عَصَاكُمْ أَوْ يُفَرِّقَ جَمَاعَتَكُمْ فَاقْتُلُو"
[ sàhih muslim 1852 ]
Imepokewa kutoka kwa ‘Arfaja ambaye alisema kwamba;
Nilisikia #Mtume wa Allah (ﷺ) akisema:
“atakapokujieni mtu akawakuta mmejikamata na mtu mmoja kama #kiongozi wenu na akataka kukugaweni , basi #muueni yule anayetaka kuharibu mshikamano wenu au kuvuruga umoja wenu.”
[ rejea sahih muslim hadith no 1852 ] 📚💦
🫴MAELEKEO SAHIH YA MTUME NI HAYA HAPA KAMA MTAWALA HATENDI HAKI JUU YENU;
Salama bin Yazid al-Ju‘afi alimwuliza #Mtume wa Allah (ﷺ):
“Ewe Mtume wa Allah, unalionaje jambo hili:
tukipata #watawala wanaotutawala na wanatutaka kutekeleza #haki zao juu yetu, lakini wao wenyewe hawatekelezi #haki zetu juu yao—tufanye nini?”
Mtume wa Allah (ﷺ) akamvuta pembeni na akasema:
> “#Wasikieni na #kuwatii, kwa kuwa mzigo wao utakuwa juu yao, na mzigo wenu utakuwa juu yenu.”
قَالَ سَأَلَ سَلَمَةُ بْنُ يَزِيدَ الْجُعْفِيُّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ يَا نَبِيَّ اللَّهِ أَرَأَيْتَ إِنْ قَامَتْ عَلَيْنَا أُمَرَاءُ يَسْأَلُونَا حَقَّهُمْ وَيَمْنَعُونَا حَقَّنَا فَمَا تَأْمُرُنَا فَأَعْرَضَ عَنْهُ ثُمَّ سَأَلَهُ فَأَعْرَضَ عَنْهُ ثُمَّ سَأَلَهُ فِي الثَّانِيَةِ أَوْ فِي الثَّالِثَةِ فَجَذَبَهُ الأَشْعَثُ بْنُ قَيْسٍ وَقَالَ " اسْمَعُوا وَأَطِيعُوا فَإِنَّمَا عَلَيْهِمْ مَا حُمِّلُوا وَعَلَيْكُمْ مَا حُمِّلْتُمْ " .
[ Rejea sahih muslim 1846 ] 📚💦
TANGULIENI ELIMU BILA KUTANGULIZA HISIA NA HAMASA ZA KIDEMOKRASIA 🖐
🫴HAYO NDIO MAFUNZO YA DINI YA KIISLAMU
SISI WAISLAMU MIONGOZO YETU NI ALLAH KTK QURAAN, MTUME KATIKA HADITHI ZAKE NA MASWAHABA WETU
HATUCHUKUI MAELEKEZO TOKA KWA TEC WALA KANISA,WALA DEMOKRASIA,WALA KWA VYAMA VYA KISIASA , WALA KWA WANAHARAKATI
🫴 #BAKWATA WALIKUA SAHIHI KWENYE HILI KUKATAA KUBEBA #AJENDA ZA KANISA NA CHADEMA _AGENDA ZA KUTETEA MASLAHI YA KANISA NA CHAMA CHAO
KWA MUJIBU WA #UISLAMU MWENYE KUTAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI KWA UASI DHIDI YA #MTAWALA 📚💦
>>HUKMU YAKE NI KUKATWA KICHWA TU 🛡
🫴HUO NDIO UISLAMU_MAFUNZO YA MTUME
🔹️SEMA MARA NYINGI WANAITAKA UISLAMU NI #UGAIDI_ILA UISLAMU UKO SERIOUS SANA KUHUSU AMANI YA NCHI

ENYI WA TZ 🇹🇿 WENZANGU ‼️ MPENI #MTAWALA HAKI ZAKE MLIZOWAJIBISHWA NA MOLA WENU JUU YENU; NANYI #HAKI ZENU MTAZIPATA TOKA KWA MTAWALA KWA IDHIDI YA ALLAH📚💦
_____mtiini kwenye mema tu_____
>>MTAWALA MOJA YA HAKI YAKE NI; 🫴ASINASIHIWE AU KUSEMWA VIBAYA HADHARANI KWA MAKOSA NA AIBU ZAKE
_BALI AFATWE KWA HESHMA NA ADABU KWA #SIRI NA #FARAGHA KISHA MWAMBIE LILE UTAKALO MWAMBIA
🫴AMA KUNYANYUA MIDOMO NA KUROPOKA KIDEMOKRASIA KISHA MKAVUNJA HAKI ZA MTAWALA MKIDAI MNAZIDAI HAKI ZENU KWA MTAWALA
🔹️HAPO MTAINGIA KWENYE MAPAMBANO NA MASHINDANO NA SERIKALI NA NYIE HAMTOMUWEZA MTAWALA KWANI ATAKUSHINDENI TU
MTAWALA NI MTU KAMA WEWE ANAKASIRIKA NA ANAGHADHIBIKA KWA UTOVU WA ADABU JUU YAKE
🔹️AKIAMURU JAMBO DHIDI YAKO KUPITIA SILAHA ZAKE NA MAJESHI YAKE HAMTOSALAMIKA NA DAMU NA MACHUNGU
ENYI WATU HEBU ZIONEENI HURUMA NAFSI ZENU NA WATOTO WENU // KUWENI WENYE AKILI BASI
@AbiriaNdugu @BinKombo3 @IsaRouhan13797 @BlackWolfBeast @Ucle_Kuchi @Matallahkhamis @khilafah8

KUMSEMA VIBAYA #MTAWALA HADHARANI KAMA KUTAJA MAKOSA YAKE NA AIBU ZAKE SIO NJIA YA KIISLAMU BALI NI NJIA YA #KIDEMOKRASIA 📚💦
>>NJIA YA KIISLAM INAELEKEZA KWAMBA MTAWALA ANANASIHIWA JUU YA MAOVU YAKE KWA SIRI MKIWA FARAGHA
🫴SASA MUISLAMU UTACHAGUA MWENYEWE KWAMBA ;
1_UCHAGUE NJIA YA KIDEMOKRASIA YA KIZUNGU
2_AU UCHAGUA NJIA YA ALLAH NA MTUME WAKE
🔹️USIJE UKAJIDANGANYA KWAMBA UNAPIGANIA #JIHAAD
🫴Hakuna jihaad hapo ...jihaad gani unapigania LISU NA JECHE NDIO WAWE WATAWALA⁉️
_kwani hiyo chadema ikiingia madarakani ITAKUBALI QURAAN NA SUNNA NDIO ZIWE KATIBA YA NCHI NA ILAN YA CHAMA⁉️
NB: NA ZINGATIA KWAMBA..HAKUNA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI TZ🇹🇿 KINAPIGANIA JIHAAD YA KISHERIA WALA KUPIGANIA UISLAMU
🫴JIHAAD MALENGO YAKE NI KALIMA YA ALLAH IWE JUU NA QURAAN NA SUNNA IWE NDIO KATIBA...sio chadema wala ICT WALA CUF
🔹️SASA WEWE MUISLAMU UNAPIGANIA CHADEMA IKAE MADARAKANI UNAJIPUMBAZA
UKIPIGWA UKAUMIZWA AU UKAFA AU UKABEBWA NA WASIOJULIKAMA USIJE SEMA UMEKUFA SHAHIDI WALA ULIKUFA KWA AJILI YA ALLAH
🫴WEWE UMEKUFA KIFO CHA KIJINGA KAMA VIFO VYA WATU WA JAAHILIYYAH
KWAKUA UMEKUFA UKIPIGANIA DEMOKRASIA NA MILA ZISIZOKUA ZA KIISLAMU
@Matallahkhamis @khilafah8 @BinKombo3 @AbiriaNdugu

Leo tulipata nafasi ya kipindi Cha sauti ya Daktari #Mtawala Redio tukifungumzia #Saratani ya #Utumbo mpana na #Saratani Zinazowapata #Wanawake
#️⃣ Zaidi kuhimiza uchunguzi wa mapema wa Saratani ili kuepusha hatari zaidi
#SarataniHaituwezi #PamojaDaima
@CDC_Cancer @WHO_Tanzania

📻 Turn up the volume and join us on air 09, March from 09AM - 11AM, let's dive to #Colorectal Cancer Awareness and #The cancers that affect women.
#️⃣ Listen via #MTAWALA-RADIO
🌎 Mtawala online, Anywhere!
🔔 Don't miss out! #StayTuned
@wizara_afyatz
@orci_tanzania @tzoncology

#Mtawala wa Kahama To Dar

@Gwatz5 @Queen_com1 Mama @SuluhuSamia, tunakupenda sana lakini katika jambo hili, mamlaka zako zinatukosea na kukuchafua wewe na utawala wako. Kumbuka kuna #Karma, msaidie huyu kijana, ana familia! Amewakosea nini kisichohukumika hicho? Kumbuka #Mtawala wa leo ni #Mfungwa wa kesho. Time tells
@ActUdsm @Ndolezi2 @ChirwaBahati @ACTwazalendo @MariaSTsehai @ActVijana @Salum_albimani @abdulnondo2 @IsmailJussa @SuphianJuma Ni kwelikweli kuna kila fursa ya kuungana kupambana na huyu #mtawala watanzania tumeisha choka muda mrefu tunahitaji #viongozi watawala hapana kwakweli
@ellybanyambala @cw_pedro @LucasIssack @FaridAtrash05 @GeorgeMsangi1 @AsiliMbongo @mushi_mzee @MankindUwezo @Asabuni1 @ClubMagufuli @KilongeP @BestaMlagila @kingzuberi1 @noor_abdul @CossenyEdward @dekamu6 @msafirimnegena @Yahya_Kifyatu @kombe_e @odie_emmanuel @PMkohi @NewmanJohn15 @boniven43881683 @COLndesaika @Victor63969909 @LorenzoRothGold @MarwaMagau @cr_hon @whitebaboon1 @FatmaMkweli @JosephShemndol1 @zittokabwe @Princess_mcute @JayJayN7 @yonapavea @HKigwangalla @azamtvtz @serikali @HecheJohn @PKibatala @Advocate_Jebra @judiciarytz @tundu_lissu @bunge_tz @tanpol Hilo la 'ushirikiano' na vyombo nimekwambia liondoe Mpwa, Nimekwambia hiyo ni hoja mfu kabisa.
Kumbe kuna Walanguzi wa kesi?
Basi Polisi ituletee hawa 'walionunua' kesi mambo yaishe.
Whatever goals you’re setting, often it’s better to keep that thought to yourself. Not everyone is a well-wisher. Keep your mouth shut eyes open and listen
#mtawala🙏
Mheshimiwa Raisi @MagufuliJP Tanzania ni taifa huru,hatutawaliwi tulishapata uhuru wetu.
Katiba Yetu haitambui #Mtawala,,
Inatambua uongozi..
"Katika kipindi cha utawala wangu nimejitahidi sana kutoingilia muhimili wowote, mfano bungeni wanatukana nikiona yamezidi nahamisha channel ndio uhuru huo, huku wengine wanakufungulia kesi Mahakamani bila kusahau kuna ibara ya 46 ya Katiba," @MagufuliJP

#mtawala 🍻🍺 kasema hapangiwi sasa hapa #ilaniCcm ilimpangia kumbe ndio wameharibu kabisa 🙆🙆 #bongobahatimbaya 👇👇

#Mtawala nae anahubiri #Mabadiliko ,ila hakubali #makosa yake kama yametufikisha hapa,sasa #Atabadilisha nini? #Nawazatu,Mabadiliko ni #homa
Last Seen Hashtags on Sotwe
AltComics
Seen from United States
hijabi #malay
Seen from United States
AshaSharath
Seen from Poland
femdomwillow
Seen from Denmark
desi friend mom
Seen from India
mgai(((())))************filter:videos
Seen from Netherlands
bops #joi
Seen from United Kingdom
CaughtOnCamera
Seen from United States
معصيتّيَ_رِحّتِي
Seen from France
ふくの湯新宮
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers



















