@YerickoNyerereT By reading btn the liñes either una siku chache chadema ama madai yako ni ya uwongo kwa sababu conclusion yako ni kinyume na hoja.Kama chama kimeshavunjika ww kwanini unabakimo?
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
Subiri kidogo MUHESHIMIWA.
Tarehe 19.5.2025 mahakama imeamuru Uletwe MAHAKAMANI. Hayupo wa kuzuia AMRI hiyo.
Mahakama imeamuru WANANCHI tufike MAHAKAMANI kusikiliza kesi yako kwa UTULIVU hakuna Wa kuzuia AMRI hiyo.
Ulipanga kuanza zoezi la KUGOMEA kula kama hutaletwa MAHAKAMANI, nadhani sasa uendelee na ratiba zako za kula na kupata dawa Zako, HAKI INAENDA KUSHINDA SOON.
Tunakuhitaji sana kwenye hii vita SIMBA WETU, wewe ndio umetuaminisha kuamini kuwa INAWEZEKANA . Tunakuhitaji sana utuongeze kuelekea nchi ya AHADI.
Muda huu wapenda HAKI wote wamefurahi baada ya haya maamuzi ya MAHAKAMA, japo upo kwenye kuta za MAGEREZA hatujui hali yako ipoje ila kwa hii hatua ya leo tunaona Mwanga MBELE.
Stay strong TAL till 19.5.2025 utatuona vijana wako wenye sura za kiu ya MBADILIKO, utaona wanachama wako waliovunjwa miguu na mikono na kushambuliwa na Mbwa kwa amri za MRILO .
Wote tutakuwepo kukuunga mkono. Tutakuja MWESHIMIWA.❤️🫡
#FreeTunduLissu
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tumesikia na Kuona Maafisa wa Polisi Kutoka Makao Makuu Kushughulikia suala la Mdude Nyagali na pia Nikaona mtandaoni tangazo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akitangaza zawadi ya Tsh.Milioni Tano kwa atakaye fanikisha kupatika kwa Mdude eti akiwa hai au Maekufa.
MSIMAMO wetu Rafiki za Mdude ni Mmoja.Tuna mtaka Mdude akiwa hai Mdude siyo mwizi,Jambazi au zulumati.
Hana adui yeyote isipokuwa wale anao wakosoa na wasio kuwa na uvumilivu wa kukosolewa. Kama amekosewa ashtakiwe kwa mujibu wa sheria.
Tunataka Mumrudishe akiwa Hai.SISI SIYO NJIWA TUNDUNI NI TAI KICHAA.Tunaendelea kujitabidi kuwa na hekima kabla ya kufikia ukomo wake.
Na bila Mdude na Majawabu yanayo eleweka ya nani anayeteka watanganyika punde hatutakuwa na njia nyingine isipokuwa kutoa altimutum haya mambo hayavumiliki tena.
TUTACHORA MSTARI. NA KUTAFUTA SULUHISHO MIKONONI MWETU.MUNGU ATAKUWA UPANDE WETU,KATIBA ITAKUWA UPANDE WETU ,SHERIA ITAKUWA UPANDE WETU NA JUMUIYA ZA KIMATAIFA ZITAKUWA UPANDE WETU.
@AMAZlNGNATURE The line that separates day and night is called the terminator and also the "twilight zone.
Here you can say night and day together, on the left it's still day (the sun is still shining) and on the right it's already a dark night with the moon.
@HabarimpyaTv Mkuu wa mkoa anajua kabisa hilo dau lake halitachukuliwa na anatuandaa kisaikolojia Mdude ana maana kwetu akiwa hai tuu so mwachieni akapate matibabu.
@tanpol Jeshi la polisi linajichunguza?Nafikiri mgefanya tuu internal communication huyu kijana aachiwe atibiwe na waliohusika wafukuzwe kazi mara moja UMMA unataka hivo tuu tofauti na hapo ni kuchelewesha mchakato wakati huyu kijana yuko hatarini kama bado yupo hai kama ile damu yote yk
@godbless_lema Kizazi cha hovyo,mavi,takataka,kinanuka ngono, yutiai,gono,kaswende,pombe,uchawi,kuomba omba na ushenzi mwingine,wakute klabu,wamevaa kama wanajiandaa kukeketwa,wameshika bia mkono mmoja, mwingine wameshika simu, wafupi na wanamatumbo makubwa,wanaruka ruka kama misukule,mamae