Kwa nini tuslitaje jina la huyu mzee? Miaka mitano ya Magufuli Hospital 5 za Kanda Hospital zaidi ya 60 za Wilaya vituo vya Afya zaidi ya 300 Bwawa la Nyerere, Reli ya Kisasa, Miradi ya Maji, Barabara za Lami na Zege, Ununuzi wa Ndege je Angemaliza Miaka 10 Tz Tungekua Wapi?