Nimekutana na dereva bolt, ni mwanafunzi wa Institute of Accountancy Arusha anachukua digrii ya Tourism & Hospitality Management, jioni na wikiendi anapiga deiwaka kwenye bajaji ya mkopo anakwambia anachanga mtaji wa kuanzia kuwa tour operator. Amenikosha kinoma bwana mdogo.
Aise modern parents kuwalisha madogo misosi mingi hadi wanakuwa vibonge sio sifa. Obesity ni hatari sana hasa kwa hii lifestyle ambayo wakitoka shule hawaendi kucheza nje.
Kama Tanga Refinery itamilikiwa na Mzee Dangote kwa 50%, Serikali za Afrika Mashariki kwa 25% na Wananchi wa nchi za @jumuiya kwa 25% maana yake ni kwamba kila mwananchi awe na haki ya hisa 1 sawa na usd 12.5 ( shs 30,000). Inaweza kuwekwa sokoni EAC kote a Tanga Refinery Bond!
Tanzania's two largest banks have overtaken their Kenyan counterparts in market value for the first time ever, as East Africa's corporate landscape shifts in ways few anticipated.
CRDB Bank and NMB Bank have both surged from under $1bn to $2.7bn in a single year, while the number of East African companies valued at more than $1bn has risen from 8 to 14. Safaricom remains the region's dominant force, but Tanzania's growing influence is a standout story.
Get the full picture in our latest report: https://t.co/9kjPXRSDpf
Unaiga watu kumbe kesho wana dili la milini 300 na kesho kutwa wana dili la milioni 500 na jana walipiga dili la milioni 150.
Nyumba anayoishi alipewa na baba yake zawadi siku ya harusi.
I once worked for an American company whose annual revenue was nearly 50% of Kenya’s entire GDP.
The company wanted to set up a manufacturing plant in Kenya and even sent its Vice President to explore the opportunity.
Do you know the VP couldn’t even secure a meeting with the Health CS?
Gatekeepers blocked discussions before they could even begin. Everyone wanted their share first.
The VP flew to Ethiopia instead. He was welcomed like a head of state.
Imagine the jobs, technology transfer, exports, taxes, supplier networks, and investor confidence Kenya lost because of a few selfish individuals protecting personal interests.
Dangote has been here before. He ended up setting a massive cement manufacturing plant in Ethiopia.
Those government officials don’t care as long as they can’t see their share.