Hivi wanaume/wavulana sikuu hizi mnakwama wapi jamani enhee
Yani now hamna mbinu za kutongoza wala hamjui kutongoza kabisa
Now ukikutana na boy naomba number zako then anakutext or nakupenda sijui kimepanda kimeshuka sijui nn nn kwenye sms alafu imeishaa hiyoo