Asante Mungu kwa Kutupa pumzi yako tena, Vijana wenzangu wa kiume na kike tudondeshe amen za kutosha Kumshukuru Baba wa Mbinguni πππππππ
Kosa kubwa ambalo watu wengi tunalifanya ni kumchukia mtu bila sababu, kumuombea mwengine mabaya, kuumia unapoona mwengine anafanikiwa, kupenda kufanikiwa peke yako, kudharau wengine, kusahau tulipotoka.
Mwisho, kusahau kwamba maisha ni leo kesho sio uhakika kabisaπͺβππ
Hii ni Bonge la hotuba, iko na mambo yote muhimu, yani vitu alivyofanya Rais JPM kwa kipindi cha miaka 5 ni mara mia ya yale yaliyofanywa na marais wote wa awamu nne zilizopita.
Hii ndiyo maana halisi ya Rais ππππππππ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Wale mademu ukimtongoza anaenda kusema kwao hivi siku naweza kuwapata mkoa gani jamani?
Maana mitaa yangu leo na leo unaingia king ππππππ