Top Tweets for #ibrahimclass

Kamisheni ya Kusimamia Ngumi za Kulipwa Tanzania kwa niaba ya wadau wa mchezo huo, imetoa pongezi za dhati kwa mabondia walioshinda ubingwa ndani na nje ya nchi kati ya tarehe 28 na 29 Oktoba, 2023 kama ifuatavyo:-
IBRAHIM CLASS MGENDER
Ibrahim Class ameshinda ubingwa wa taifa uzani wa "Super Feather", 58.9Kg kwa kumpiga bondia Xiao Tao Su wa China kwa majaji wote watatu kumpa ushindi Ibrahim Class baada ya mizunguko 10 ya pambano hilo. kumalizika.
FADHILI MAJIHA
Ubingwa wa WBC Afrika uzani uzani wa "Super Bantam" kwa mara ya kwanza tangu kutambulishwa kwake umepata bingwa wake wa kwanza, Fadhili Majiha kutoka Tanzania kwa kumshinda Bongani Mahlangu (Afrika ya Kusini) kwa point za majaji wote watatu baada ya kumalizika kwa mizunguko 10 ya pambano hilo.
Mapambano hayo mawili yalifanyika tarehe 28 Oktoba, 2023 katika ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam. Pamoja na kuwapongeza mabondia hao, Kamisheni pia inampongeza muandaaji wa pambano hilo Hb Sadc Boxig Promotion.
PIUS MPENDA
Bondia Pius Mpenda ameshinda pambano lake dhidi ya Dauren Yeleussinov (Kazakhstan) katika pambano la mizunguko 10 lililofanyika tarehe 29 Oktoba, 2023 lililofanyika Istanbul, Uturuki. Pambano hilo lilikuwa la ubingwa "WBC Peace" pia na kufanya kuwa bingwa wa kwanza kutoka Tanzania kushinda ubigwa huo.
#KitengeSports

CLASS AFICHUA SIRI YA USHINDI
"Ushindi wangu Watanzania wote waliona" Bondia Ibrahim Class akitaja sababu za yeye kuwa mshindi katika pambano lake na Saidi Chino lililopigwa Jumamosi ya Mei 27, 2023 na Class kuibuka mshindi kwa pointi.
#VitasaKaziIpo #KaziIpo #IbrahimClass #AzamSportsUpdates
NDONDI: IBRAHIM CLASS AMCHAKAZA SAID CHINO KWA POINTI
#IbrahimClass ameshinda Mkanda wa uzito wa kati (Super Feather) katika pambano hilo baada majaji wote watatu kumpa ushindi wa pointi 98-91, 97-92, 97-92
Akizungumza baada ya pambano hilo la Raundi 10 lililofanyika Masaki, Dar es Salaam, Class amesema “Nilijua nitampiga mpinzani wangu kwa kuwa nilishasema tangu awali kuwa huyu si Bondia bali ni mpiga debe.”
Upande wa #SaidChino amesema “Nataka nirudiane naye, Class sio mkali, ameshinda kwa kuwa kuna mambo yametokea lakini uwezo wake bado na ndio maana huwa anapewa mabondia wa mchongo kupigana nao."
Soma https://t.co/dT7ly0pyH0
#JFSports

One of my favorite Boxer in TZ in his weight class... Congratulations and Keep up Bro ✊ #Ibrahimclass #MoBoxing

"Nabadilika napokutana na Bondia....sina formula napokuwa Ulingoni"
#IbrahimClass.
Tukutane July 1.
Kits by #JustFit

Rumble In Dar 28th May Live on DStv Chan no 294
#Mwakinyo🇹🇿
#IbrahimClass🇹🇿
#Jongojongo🇹🇿
@dstvtanzania
@plustvtz
@jacksongroup.sports @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/iW3O1Mx2lG
BondiaTanzania Ibrahim Class wa Tanzania, ametamba kuwa vizuri kumchapa mpinzani wake kutoka Zambia Simeon Ngoma katika mpambano utakaopigwa Novemba 27, 2020, kwenye ukumbi wa PTA jijini Dar es Salaam.
#Vitasa #VitasaNight #UsikuWaVitasa #IbrahimClass #ClassNgoma #AzamTV
MABINGWA WOTE JUKWAA MOJA
Ni Vitasa baada ya Vitasa, hakuna kupumzika, Oktoba hadi Novemba, mabingwa wote wanashuka ulingoni #TwahaKiduku #HassanMwakinyo #IbrahimClass
#Vitasa #UsikuWaVitasa #MabingwaJukwaaMoja #AzamSportsHD #AzamSports2

At @TV1Tanzania with #GBC #Lightweight #WorldChampion #IbrahimClass & #TheMaker #Joe #SekesekeMichezoni live program. Thanks, we appreciate!

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers