Top Tweets for #madodi

Bro
ukipata nafasi ya kuaminiwa na mwanamke na akakupenda basi kuwa upande wa faraja, amani na furaha yake
sometimes wanawake wanapitia magumu sana kiasi kwamba hata ndugu tu hawezi kuskia kilichomo mioyoni mwao.
when u get a chance, kuwa faraja yake bro.โค๏ธ #Madodi
@BarakahMcb

Bro
Kama ulimkosea mwanamke wako mkaongea yakaisha, lakini baada ya nusu saa akarudi akiwa na hasira dhidi yako.
Jua kuwa alienda kuwambia rafiki zake kwenye group halafu hao wajumbe wa bodi ya wakurugenzi hawajakubali wewe kusamehewa. ๐คฃ #Madodi โ๐ผ
Kumbuka kuwa Maisha ni mfano wa barabara kila mtu anapita hapo, Lakini hatua utakazopiga ni za kwako peke yako. #Madodi โ๐ผ

Bros
"As a man, Ogopa sana kuoa mwanamke ambae kwenye familia yao mama ndio anae toa tamko la mwisho yani akisema hapana baba anakaa kimya
Ukibahatika kuoa hapo basi jua kuwa hata huyo mwanamke wako atataka na kwako awe final say"
@BarakahMcb
#Madodiโ๐ผ
Watu wa Njombe wakimaliza Semester Exam๐๐๐
Oya Gisbert pigo gani ndugu yetu๐
#madodiโ๐ฝ

Katika Maisha lazima ufundishe moyo wako kukubali kile ambacho hakiwezi kubadilika. #madodiโ๐ฝ #WhatCanNotBeChanged
Dada wa watu kaja kukusalimia tu mara ghafla tunasikia "Bluetooth Melody" ๐๐
Vijana wa hovyo punguzen Kasi
#Madodiโ๐ฝ
Wakati mwingine unatakiwa ukate tamaa kwa watu, Sio kwasababu hujali ila ni kwasababu hawajali. #madodiโ๐ฝ
Wakati mwingine watu wema hufanya maamuz mabaya haimaanishi ni wabaya, ila ni kwasababu na wao pia ni binadamu. #madodiโ๐ฝ
Huwezi kumlazimisha mtu abaki katika Maisha Yako, Kubaki ni kuchagua. Hivyo mshukuru yule aliyekuchagua wewe. #Madodiโ๐ฝ
Watoto wanapaswa kutambua na kuthamini jitihada za wazazi wao kwasababu kuna wakati mazazi anajinyima hata kula au kuvaa ili mtoto wake asijihisi mnyonge mbele za watu.
JFUNZE KUWAHESHIMU WAZAZI WAKO KWA KILE KIDOGO WANACHOKUFANYIA. #madodiโ๐ฝ
Alhamdulillah ๐คฒ๐ฝ I was Born today.
Happy birthday to Man Middo
Happy birthday to Rahidin Madodi.
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya Uhai na mama aliyefika leba siku kama ya leo miongo mitatu kasoro iliyopita.
Happy birthday to me again.
#madodi
#BirthdayBoy
โSina simuโ
Nilijibu kwa haraka ili niondoke zangu lakini nikaona anatafuta pen ila hakupata nilifurahi sana, aah! Katika kupekua akapata makapen akanipa namba yake kisha akanisihi sana nimtafute............... ITAENDELEA.
Usikose episode ijayo hapa hapa kwa #madodiโ๐ฝ
Katika Maisha sio watu wote wamefanikiwa kwa kusaidiwa na watu, wengine wamefanikiwa kwa kunyanyaswa,kutengwa na kusimangwa na watu. #Madodiโ๐ฝ

"Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake" Kuna muda tunaamini huo msemo lakini tunapokumbuka kuwa kutoka kwetu ndio kula kwao, tukila sisi na wao wamekula pia basi tunachukulia msemo huo ni wakiduanzi hauendani na falsafa za mwenda pole. Tunaamini katika kupigana tafu. #madodi

Last Seen Hashtags on Sotwe
tรผrkporno
Seen from Turkey
brosis()******** filter:videos
Seen from United States
tamilammasex
Seen from United Arab Emirates
เธเธงเธขเธเธฑเธเธเธญเธฅ
Seen from Thailand
AboulFetouh
Seen from Egypt
ุงูุฒุฑุงุนุฉ
Seen from United States
chupando verga
Seen from Panama
chamet live
Seen from Pakistan
nolimits()********** filter:native_video
Seen from India
nstwtwt
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers


