STEVEN KANUMBA 'THE GREAT'
Inaelezwa alifanikiwa kuigiza zaidi ya filamu 42 alizohusika moja kwa moja kabla ya kifo chake.
Hizi ni baadhi ya filamu 10 za mwisho mwisho kabla ya kifo chakeππ½
Usipoteze sauti yako kwa watu wanaostahili kimya chako. Wakati mwingine kitu chenye nguvu zaidi unachoweza kusema ni kukaa kimya kabisa. #Madodi βπΌ
Kuwa matured ni pamoja naππ½
Kuwacha watu wanao kuongelea vibaya, kukuombea mbaya waendelee.
Huku ukijua kuwa hadithi zao za kubuni akilini mwao zina uhusiano zaidi na HOFU na WASIWASI wao kuliko UHALISIA wako.
#middotz_βπΌ
#Madodi
Kuwa mnyenyekevu na kamwe usifikiri wewe ni bora kuliko mtu mwingine.
Kama tumeumbwa kwa udongo basi tutarejea kwenye udongo.
Heshimu kila mtu anaekatiza mbele yako. @middotz_ βπΌ
Katika Maisha mtu anakuwa kivutio kwa wengine mara 10 zaidi sio kwasababu ya MUONEKANO wake, Ila ni kwasababu ya vitendo vyake vya WEMA, UPENDO, HESHIMA, UNYENYEKEVU na UAMINIFU anao onyesha kwa wengine. #Madodi βπΌ
@middotz_
Jifunze kuwa na kawaida ya kutowapa watu presha ya kukuchagua wewe, yani wao kuwa upande wako.
Kama wanahisi wanaweza kuishi Maisha yao bila uwepo wako, Hata kama ni Familia, Rafiki au Partner, Wape hiyo nafasi na iwe hivyo.
#MadodiβπΌ
@middotz_