Top Tweets for #malimwengu
#MALIMWENGU
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu ASILIMIA THEMANINI (80%) ya Wanawake walioachika wamekuwa michepuko ya wanaume wenye ndoa, ilhali wao waliamua kuachika kwa kuwa waume wao walikuwa na michepuko.
Hii hali unaiitaje?
Unaweza kuielezea?

Tottenham needed to be in the top 4 but Arsenal denied them. The same Arsenal were begging Tottenham to Win against Manchester city. 🤣🤣🤣
#Malimwengu
#MainaAndKingangi
#DondooZaHapaNaPale #SifaExtravaganza
Nyalong Ngong Deng,msichana kutoka kabila la Dinka huko Sudan Kusini ni msichana aliyetolewa mahari ghali zaidi Afrika wakati anaolewa.Alitolewa mahari ya ng'ombe 500 na magari matatu aina ya V8.
#Malimwengu na @Jonathan_Tinga

#DondooZaHapaNaPale #SifaExtravaganza
Mgonjwa mmoja Marekani aliyekua kwa comma kwa muda,apona na kuanza kuongea lugha geni.
#Malimwengu na @Jonathan_Tinga

#Malimwengu,Middle-aged lady from Njoro village Nakuru county who is said to be sick vomited a dead rat.
@khendofm_kenya
@CALISTUSMAKHAN1
@KenWafu63956261
@nyongesa_18
@SNasiebanda
@Nekesa039
@narurucha
@NamaembaM
#Malimwengu
Osama Sabina Chege

#MALIMWENGU
Mwanaume mmoja huko India amezua gumzo baada ya kumuua mkewe kwa kumzika kwenye kinyesi cha ng’ombe kwa kigezo kwamba alikua anamtibu baada ya kuumwa na nyoka.
Kulingana na mwanaume huyo kwa jina Devendri ni kwamba zoezi hilo lingesaidia kutoa sumu ya nyoka mwilini.

Aaron Chervenak kutoka Las Vegas,Marekani mwaka 2016 alifunga ndoa na simu yake ya mkononi katika kanisa moja huko Nevada.Alipoulizwa Kwa nini ameamua kufunga ndoa na simu yake alijibu “Simu yangu nimekuwa nayo muda mrefu sana hivyo nimeona ni vyema niioe”#Malimwengu #Twatulizaa

#MALIMWENGU
Nairobi Woman spends Kshs.300k on surgery to restore her virginity.🤔Kumbe it's doable?
#MegaBreakfast
#OkumuNaGeorge
#ChamaTawala
@wyclif_okumu
@ItsGeorge254

#MALIMWENGU
How can a university receive state funding for 13 years without even a single student?🤭. Indeed bizarre is bizarre😀
#MegaBreakfast
#ChamaTawala
#OkumuNaGeorge
@ItsGeorge254
@wyclif_okumu

#MALIMWENGU
Wanaume wasiokuwa na hamu ya ngono hufa haraka. Wasema watafiti kutoka chuo cha yagamata Japan waligundua kuwa wanaume ambao hushiriki tendo la ndoa mara kwa mara huishia kuwa na afya imara hawana tatizo kisaikolojia na huishi kwa mda mrefu.

#MALIMWENGU
Is it proper for an elder bro to punish his younger sister for perceived waywardness?
#OkumuNaGeorge
#ChamaTawala
@ItsGeorge254
@wyclif_okumu


#MALIMWENGU
How can a dead person refuse to be transported home for burial for whatever reason? Do you believe such happenings? Talk to us
#MegaBreakfast
#OkumuNaGeorge
#ChamaTawala
@wyclif_okumu
@ItsGeorge254

#MALIMWENGU
Jamaa mmoja huko Ujerumani ameelezea masikitiko yake baada ya kupewa zawadi ya peremende na kampuni aliyoiregeshea cheque ya pauni milioni 4 ambayo ni sawa na milioni 484 pesa ya kenya.

#MALIMWENGU
Mwanaume huyo kwa jina Ojo Joseph mwenye umri wa miaka 54 kutoka jimbo la Ondo anaripotiwa kuwafungia watoto hao chumbani usiku wakiwa wamelala na kumwagilia nyumba petroli na kuiwasha huku mama yao akikimbilia usalama wake.

#MALIMWENGU
Tanzania watangaza ongezeko la Talaka.!
Kulingana na Taarifa kutoka kwa afisi ya mashauri ya ndoa huko Temeke ni kwamba tangu Novemba mwaka jana hadi julai mwaka huu kumeandikishwa maombi zaidi ya 1,358 ya talaka.

#MALIMWENGU
Mvulana anauguza maumivu mabaya baada ya kuchomwa na chuma cha moto.
Mvulana mmoja wa umri wa miaka 12 huko mpeketoni kaunti ya Lamu anauguza maumivu mabaya baada ya kuchomwa na chuma cha moto na babake wa kambo kisa alipoteza shilingi kumi ya sigara.

#MALIMWENGU
Mchungaji mmoja adai kukutana na Yesu ana kwa ana!
Akizungumza katika televisheni moja ya kitaifa nchini humo, William Ssozi alidai alipaishwa hadi mbinguni, ambapo alikutana marehemu babake kabla ya babake kumpeleka kukutana na yesu kristo.

🔥((((On-Air TakeOver LIVE na 🕝10am - 01pm⏰))))🔥 Sister Shanniez
#MALIMWENGU: wanasayansi nchini israel wamebaini kwamba harufu ya marafiki hua zafanana... ...!
SkizaOnline:https://t.co/zIewAm7s0g 📻
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995 ||

Last Seen Hashtags on Sotwe
femboy #gay #nsfw
Seen from United States
anxiouspanda()+filter:native_video
Seen from United States
lxlii(***)***********filter:videos
Seen from Russia
ติ้วหีโชว์
Seen from Mexico
Ayeshakhan
Seen from India
eproctophilia
Seen from Korea
novinho
Seen from Brazil
ILoveMyLifeSoMuch
Seen from United States
天宮みすず
Seen from Japan
nobusinessbeingthatbig
Seen from Pakistan
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers







