Top Tweets for #mpiraniumoja
Usimchukie mtu kwa upande aliochagua bali msaidie awe bora kile kizuri alichokichagua #mpiraniumoja #proudhusband #footballforsmiles

Sisi kama klabu, kama ilivyo kwa Watanzania wote, tunao wajibu wa ulinzi, amani na utulivu wa nchi yetu, umoja, upendo, na mshikamano kama wananchi wa Tanzania. Tusingependa kabisa ushabiki wa soka uwe chanzo cha chuki, mifarakano na uvunjifu wa amani katika jamii. #MpiraNiUmoja

Tunawaomba mashabiki wetu wasichukue hatua zozote za kulipiza kisasi wala wasifanye fujo ya aina yoyote dhidi ya mtu yoyote. #MpiraNiUmoja

Wanasimba endeleeni kupendana: nawaomba kwa heshima na taadhima tuonyeshe ukomavu wa upendo, mpira iwe chachu ya kutuunganisha na kutuleta pamoja. #MpiraNiUmoja

Klabu ya Simba, kwa mara nyingine inasikitishwa na inakemea vikali kitendo cha baadhi ya mashabiki wa timu ya Yanga kuwapiga mashabiki wa Simba waliohudhuria mchezo kati ya Yanga na Mtibwa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro, Septemba 27, 2020. #MpiraNiUmoja #NguvuMoja


Raha ya watani wa jadi ni utani. Wanasimba tumekuwa mfano sahihi kwenye hilo. #NguvuMoja #MpiraNiUmoja


Halafu ni juzi juzi tuu hapa kulikuwa na hashtag ya #MpiraNiUmoja leo hii watani mnaleta habari za kupopoana mawe ! tena wenyewe kwa wenyewe , watani 🚮
Mhe.Kigwangalla, sio utu kumuombea mtu yoyote apigwe mawe. Suala la uwekezaji Simba nililielezea kwenye interview na WasafiFM. Wengi wameelewa. Itafute. Kama bado hutaelewa, namba yangu unayo nipigie nitakufafanulia. Pia nisamehe kwamba mkopo wa pikipiki ulioniomba haikuwezekana.
@moodewji We have about 20 students from diploma NTA 4 who are in need of IPTR training in the field of mechatronics.
I would be glad if anyone could find companies to allow them to do IPTR for 3 weeks
Hope your elite company can facilitate this training.
#MpiraNiUmoja #NguvuMoja

Ndugu @HajiManara @moodewji ni Muda sasa wa kukaa kama viongozi na kukaa meza moja na Watani wenu The Green&Yellow YOUNG AFRICAN ili kuwaelekeza Mashabiki kuwa Utani Sio kugombana.
#MpiraNiUmoja #MpirasioUadui @godfreyabely2 @DamasPaul6 @GjAssenga @Tanfootball
Shabiki shujaa wa @SimbaSCTanzania aliye chaniwa jezi akutana na @moodewji
Kwangu Mimi huyu Bw. Kindio Hassan ni 'die hard fan' 🦁💪
#MpiraNiUmoja
#NguvuMoja

@FuimeH @charz_amos @moodewji Mashabikii wetu hawakufanya kitendo cha kiungwana pale ni lazma tukatae lakini pia na mashabiki pia tuwe makini katika ushabiki wetu tusiwe watu wa kuendeshwa na mihemko sana utani sio uadui #MpiraNiUmoja
@charz_amos @moodewji Kuna watu wengine wakiona hivi sasa wanaweza kujipitisha maksud tu ili wapate shavu😀😀😀😂😂 #joke #MpiraNiUmoja

Last Seen Hashtags on Sotwe
559hoe
Seen from United States
baitrequest
Seen from Greece
Cadrelumineux
Seen from United States
ebonypyt
Seen from France
viral bagets
Seen from Philippines
springbasketball
Seen from Germany
รับงานชลบุรี
Seen from Thailand
MERADIL
Seen from United States
toge
Seen from Indonesia
IDontWantToOverreactBUT
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers

















