Top Tweets for #scopeupdates
Jeshi la Polisi Shinyanga linachunguza tukio linalomhusisha mwanaume anayekadiriwa kuwa na miaka 35+ kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wawili wenye umri wa miaka 8 na 11 wanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi B, iliyopo kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga.
#scopeUpdates

@SimbaSCTanzania imezindua jezi maalum ambazo zitatumika kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika 2022/23 kwenye hatua ya makundi ambayo timu hiyo imefudhu.
Jezi hizi maalumu zimeandikwa Vist Tanzania kifuani kama mbadala wa mdhamini mkuu wa @SimbaSCTanzania M BET.
#scopeupdates

Jeshi la polisi mkoani Kagera linashikilia daktari feki Frodius Protas (24) kwa madai ya kusababisha kifo cha Saraiya Idd (25) baada ya kujaribu kumtoa mimba kwa malipo ya shillingi laki sita baada ya kufariki aliamua kutafuta eneo la kumzika ili kupoteza ushahidi.
#scopeupdates

Jeshi la Polisi limemfukuza kazi Koplo Anthony Francis wa kituo cha polisi kisarawe baada ya kukamatwa akisafirisha dawa za kulevya (bangi) 76 kg eneo la Nanenane Morogoro.
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Wilbroad M amethibitisha tukio hilo.
#scopeupdates
#scopeonlinetv

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake Dodoma amekimbizwa hospitali kwaajili ya matibabu.Taarifa zaidi kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii.inst, Fb @scopeboii
#scopeupdates
#scopeonlinetv

Scope online tv inatoa salamu za Eid kwa watanzania wote.
Tusheherekee huku tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.
#scopeupdates
#scopeonlinetv
#eidmubarak https://t.co/QOUXAKCPa0
Anaitwa Francisco Damingo Joaquim ni raia wa Angola,jamaa alizaliwa mwaka 1990 na kwa sasa anaishi Sambizanga Angola.Ana mdomo wenye upana wa sentimeta 17 na anaweza kuweka mdomoni chupa ya soda ya kopo π
.
#scopeupdates
#scopeonlinetv


Mh dkt John Pombe Magufuli amesema Kama trend ya maambukizi ikiendelea kupungua Kama inavyoshuka Hadi sasa wiki ijayo atafungua shule na vyuo.(kutoka chato leo katika kanisa la kkkt)
#scopeupdates
#scopeonlinetv

Mpyaa kutoka kwa mwanabdada zuchu inaitwa Nisamehe ipo YouTube channel ya @officialzuchu kaitazame sasa
#scopeupdates
#scopeonlinetv
#bongomusictothemap
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.8M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.5M followers

X 
@x
60.8M followers

