Jeshi la polisi mkoani Kagera linashikilia daktari feki Frodius Protas (24) kwa madai ya kusababisha kifo cha Saraiya Idd (25) baada ya kujaribu kumtoa mimba kwa malipo ya shillingi laki sita baada ya kufariki aliamua kutafuta eneo la kumzika ili kupoteza ushahidi.
#scopeupdates
Samata ameondoka na followers wake katika ukurasa wa Instagram wa Aston Vill ambapo baada ya kusajiliwa ukurasa ulifikisha followers 918k lakini Leo saa sita mchana followers walipungua hadi 912 k na baada ya Fernabaçe kumtangaza Samatta followers wamepungua hadi 904 k.
#scopeTv
Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Tana River Kenya wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao Mzazi, Jemes aliingia kanisani akiwa na Dada yake na kusema ndoa hiyo isifungwe kwa kuwa Maharusi ni Ndugu.
Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa ITV Agness Almasy amefariki dunia mchana huu wakati akipelewa hospital ya Amana,baada ya kujisikia vibaya wakati akiwa nyumbani kwake.
( Via itv Tanzania )
#scopeTv tunatoa pole kwa familia na IPO media
#scopeTv
Tunatok kweny familia zeny uchumi wa chini mabegani mwetu tumebeba historia na kumbuX2 nzito tunapambna kujkwamua iktokea mungu katujalia tukafanikiwa usituchukie na kutuwekea vikwazo maana nyuma ytu Kuna kundi kubwa la watu wanaotutegemea uktuharibia sisi wengi umewaharibia pia