Top Tweets for #tegetaescrow
"Kutokana na muamala uliofanyika 6/2/2014 ktk Benki ya Mkombozi,kiasi cha Shs bil 3.3 na muamala wa benki ya stanbik 23/1/2014 ambapo fedha taslim bil 73.5 zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha sheria ya Benki Kuu."
@zittokabwe.
#TegetaEscrow
#TBT
@Jchris66283712 @MariaSTsehai @jmkikwete @ridhiwankikwete Kikwete ana mengi sana wa kushtakiwa kabisa, kwanza rushwa ya public funds za #KatibaMpya, #TegetaEscrow, Richmond, #Uamsho. Huyu sio wa kuachwa kabisa manyang'au
My wife @BwanaAnna bought this book for my 43rd birthday in Sept 24th, 2019. She didn’t know that the whole story is a disguised debate on $128m #TegetaEscrow scandal in which I played a leading role in rupturing a state sponsored corruption. I was reading myself in it. Grab it

Sasa TAKUKURU wanarudi tena kwenye #TegetaEscrow kwa tuhuma zingine za kubumba zenye lengo la kuniweka ndani muda mrefu ili nisishiriki Uchaguzi Mkuu. Ninawaambia tena, SIOGOPI. TAKUKURU Waache kufanya kazi kama Jumuiya ya Nne ya CCM - Wazazi, Wanawake, Vijana na TAKUKURU
Baada ya kuwaelimisha namna uchunguzi wa #TegetaEscrow ulivyofanywa na kuwaambia wawakamate waliochota Fedha Benki Kuu na kwamba nilifanya kazi yangu pamoja na wajumbe wa PAC kwa weledi wa hali ya juu sana, hawakuniita tena kuhusu hilo.
Mwezi Machi mwaka 2017 niliitwa na TAKUKURU kuhojiwa kuhusu kilichoitwa kupokea Fedha kutoka Benki ya Standard Chartered Hong Kong ili kuwasaidia katika uchunguzi wa uporaji wa Fedha kutoka akaunti ya #TegetaEscrow.
Government of Tanzania @TZMsemajiMkuu is a signatory to @icsid and this award is against Tanzania. However ‘ a polluter pays’ henceforth IPTL must pay SCBHK. These statements by IPTL would frustrate settlements needed and cost tax payers. Simple, Replenish #TegetaEscrow and pay

World Bank court orders Tanzania pay $185 million to Standard Chartered - The East African https://t.co/fhGlq3Fava
#TutaelewanaTu #TegetaEscrow is haunting us and more mutli million $ suits 😢😢 aisee
#ChangeTanzania
#TegetaEscrow kulikuwa na trace tuliyoelezwa kwa nini haikutumika ku prosecute?!! Au makosa yaliyokwenda funguliwa yamekuwa magumu kuendesha kesi ?!! .. @GMwangonda kwa kuwa unanufaika na mazingira ya sasa ina maana wengine wakionewa ni sawa?! 4yrs hakuna hukumu ni sawa?!
My brother nakumbuka among people that are remanded now, wapo wengi uliowahusisha na ufisadi kipindi kile unapambana na ufisadi. Sasa sijajua ulishakuwa DPP, ukawa Jaji na umetoa ruling kwamba hawana chembe ya makosa, nikiangali hii twiti na nikikumbuka #Escrow nabaki na maswali!
Tukumbushane kuhusu wito mbalimbali za #ChangeTanzania na namna ambavyo wale walio wengi Bungeni walisema sisi ni wapiga kelele wa mitandaoni
#SayNoToSimCardTax 2013, #BringBackOurMoney #TegetaEscrow 2014,
Mara zote tulisimama upande wa haki na uwajibikaji
#IStandWithCAG 2019
@de_meddy It’s simple if you don’t think so .. don’t sign .. we saw #SimCardTax work and the tax was revoked and saw action on #TegetaEscrow .. it serves as a platform to show citizen dissent to a certain issue. We will submit it and make sure our “kelele” is officially documented
Tanzania imenufaika sana hapo nyuma na #UhuruWaKujieleza , kwa kutaja machache #TegetaEscrow na #Sahihi70 ni moja ya mambo ambayo wananchi waliitaka serikali iwajibike kwa manufaa ya taifa #ChangeTanzania
@KanyamboEphraim We basi hukuwa social media! Nakushauri ufukunyue tweets zangu ucheki vizuri check #BringBackOurMoney ya #TegetaEscrow #SayNoToCybercrime #NoSimcardTax na mengine mengi. So relax ni haki ya kila raia kukosoa serikali yake! #ChangeTanzania
Retweeted Maria Sarungi Tsehai (@MariaSTsehai):
Sorry kweli tulisema ni za umma na wakabisha kuwa si za umma #TegetaEscrow #ChangeTanzania asante kwa kunisahihisha https://t.co/FTVUcXo0ji
Sorry kweli tulisema ni za umma na wakabisha kuwa si za umma #TegetaEscrow #ChangeTanzania asante kwa kunisahihisha https://t.co/LItyOwkRKY
Tulikuwepo #ChangeTanzania wakati wa #TegetaEscrow tukaambiwa si wazalendo na waongo kwa kuhoji na kusema pesa hazikuwa za umma. Baadaye tukaambiwa kweli hazikuwa za umma.
Sasa same tactic inatumika badala ya kujibu hoja. Hizi 1.5 trillion ni moja kuna mambo mengi #CAGReport
Tunakumbukaaa ... na tukapigwa mkwara kweli wakati wa #TegetaEscrow .. tukaambiwa kuwa awamu hii tutaona mabadiliko lakini same tactics .. kwa nini tunaambiwa tusihoji? 😞 Leopards don't change their spots
#CAGReport #ChangeTanzania https://t.co/Eo09Qb84UF
Wakati wa sakata la Escrow rais mstaafu Kikwete akihutubia wazee wa Dar alisema pesa hazikua za umma.wangapi wanakumbuka? Ripoti ya CAG lazima ishughulikiwe kwa utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu. serikali kujitetea bila kufuata utaratibu inatia shaka.
Wakati wa sakata la #TegetaEscrow Raisi wa wakati ule Mh JK alituaminisha hazikuwa fedha za Umma zilikuwa fedha binafsi je! Tutashangaa leo Rais nakituaminisha hakuna upotevu wa 1.5 Trillion?
Last Seen Hashtags on Sotwe
jmunewsday
Seen from United States
bursatravesti
Seen from Turkey
เชียงใหม่นัดเย็ด
Seen from Thailand
melanie hicks
Seen from United Kingdom
เย็ดคนแก่
Seen from Thailand
jackpower
Seen from Italy
mlbb_nsfw
Seen from Indonesia
ArisVisionMetepec
Seen from United States
groupsex
Seen from Turkey
minichat()() filter:videos
Seen from Canada
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers









