Top Tweets for #SimCardTax
"Hatujaweka Simcard tax, tunasema mtu ambaye anaweka kuanzia elfu 1000 mpaka 2500 pale alipoweka anatozwa Sh 10 tu, ukiweka laki kwenda juu ni Sh 200 na sio Kila siku ni pale alipoweka., elfu 10 hadi 25 ni sh 100 tu, aliyeweka 2500 hadi 5000 anatozwa Sh 21 tu"MWIGULU NCHEMBA

They believe we struggle to get lump sum to buy an handset but we can manage to pay 100 up to 200 daily as #SimcardTax . I donโt support the move though
#BajetiKuu2021 imeleta kodi ya kichwa itakayokua ikikusanywa kuputia simu pindi unapoongeza salio na italipwa kila siku. Kila mwananchi hata asiemiliki jengo atalipa kodi ya jengo kuputia Ununuzi wa umeme
Wakati Wabunge wanafikiri kutupigania kuodoa #SimCardTax!
Mama @SuluhuSamia na Waziri @mwigulunchemba1 tunashukuru kwa kuondoa ;
-Simu Janja za Mkononi
-Vishikwambi
-Modems
Hapa tutafika 80% ya internet users labda 2029?
Jamani Jamani.. #SimCardTax
TZS10 hadi TZS 200 per simcard kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa subscriber ๐ฒ
Wamearudisha #SimCardTax hii tuliikata na kutoa ufafanuzi #NosimcardTax
Tupunguze magari ya kifahari serikalini , tunafikiria namna ya kuminya wananchi kwenye kodi bila kupunguza matumizi yasiyo na manufaa #ChangeTanzania

#SimCardTax makes a come back !?
@BabaAlexa @MSalimu @rutaraka @zittokabwe
To fund rural water supply!?
#Bajeti2021
@sajjo: Mnakumbuka hastag ya kwanza kabisa ya changtanzania ilikuwa #simcardtax ambapo serikali ilitaka iweke tozo ya kodi ya tsh 1000 kwa mwezi,lakini tulilipigia kelele na mwisho wa siku Rais Kikwete akaamua kutoidhinisha kuwa sheria - https://t.co/XYpnhw2Woq

@de_meddy Itโs simple if you donโt think so .. donโt sign .. we saw #SimCardTax work and the tax was revoked and saw action on #TegetaEscrow .. it serves as a platform to show citizen dissent to a certain issue. We will submit it and make sure our โkeleleโ is officially documented
@RwegereraGideon @Idrisouh96 @umwalimu @KennedyMmari @MarekaMalili Unanikumbusha kipindi kile tunapinga #SimcardTax - wanaotetea wanasema sh 1,000 tu kwa mwezi hawakujua 70% hawatumii zaidi ya sh 2,000 kwa mwezi. Dar ni mirage not the real Tanzania. Hiyo sh 5,000 ni nyingi kwa mwanakijiji wa kawaida #ChangeTanzania
@cw_pedro @M_Sungwa #SimCardTax ilikuwa ktk Finance Bill - inaweza kuwa ammended au kutolewa- that's not an issue. Swali je itolewe?
@john_khalungu Itabidi kesho tuanzishe kampeni kama ile ya #SimCardTax Ubalozi na Wizara waelewe, na copy kwa Mkuu kabisa
Mbunge alishirika kupitisha tozo la simu #SimCardTax. . Alitimiza kweli wajibu esp wabunge wa majimbo yenye low income? #ChangeTanzania
Jamani naendelea kumsihi Mh Rais @jmkikwete ka alisaini #SimCardTax na akaifuta kwa Amri afanye hivyo kwa #CyberCrimeBill #ChangeTanzania
@McZedec kaka hebu nisaidie kuwauliza wadau wanaokingia kifua utaratibu huu wa kiajabu. .. ndo mambo ya #SimCardTax @DavyNguma
@Chahali na kuhusu #SimCardTax hakuwa analifahamu fika? Usitake kutuaminisha JK habadili mawazo. It's his prerogative as President
@Chahali Rais aliFUTA alichosaini #SimCardTax. . Itakuwa hii eti aogope kusaini.. JK ni msikivu hilo tuseme wazi .. au una opinion tofauti?
@JamiiForums pongezi Balile kwa kuweka sawa hilo eti asiposaini Bunge linatakiwa kuvunjwa. Rais alifuta #SimCardTax alilosaini haikuvunjika?
Last Seen Hashtags on Sotwe
INCESTO
Seen from Mexico
เธเธฑเธเธงเนเธฒเธงเนเธชเนเธ เธฒเธ
Seen from Thailand
somzodpovedny
Seen from United States
ๅฅใใณใฉ
Seen from France
ใชใชใซใผๆตๅบ
Seen from Japan
ุณูููููููุณูููู
Seen from Algeria
izmitp
Seen from Germany
nuhnormal
Seen from United States
ipcam()+ipcam()+ipcam()*+filter:native_video
Seen from United States
incesto
Seen from Spain
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers










