Top Tweets for #ujumbe
#Mwanafamilia_Mpya
#New_Family_Member
Tunamshukuru Allah SWT kwa Neema na Fadhila zake.
#UJUMBE
#MESSAGE
فَبِأَىِّ ءَالَآءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ
Basi ni ipi katika Neema za Allah SWT mnayoikanusha?
Then which of your Lord’s favours will you deny?

#UJUMBE WANGU KWAKO
Leo nataka kukuambia hili:
Forex si ya kila mtu, lakini ikiwa una nia ya kujifunza na kubadilika, hii biashara inaweza kuwa ya maisha yako.
Usikate tamaa kwa sababu umepoteza mara moja. Badala yake,
jiulize maswali haya:
- Je, nimejifunza vya kutosha kabla ya kuingia sokoni?
- Je, nina mfumo wa kunilinda dhidi ya hasara?

Ujumbe unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa (UN) ambao unaongozwa na Kenya, kupambana na magenge ya wahalifu Haiti umepokea magari ya kivita yaliyotolewa na Marekani. Picha na Nike Ching Port-au-Prince, Haiti.
#polisi #wanajeshi #ujumbe #umojawamataifa #un #marekani
#SIKU_YA_VIJANA_DUNIANI
Tunaungana na vijana wote kuadhimisha siku ya Vijana duniani. "Vijana ndio taifa la leo na kesho, MIKAKATI na UBUNIFU ni hitaji la uwepo wao"
#UJUMBE
Ni bora kuonekana mjinga kwa kukaa kimya; kuliko kuwatoa wasikilizaji shaka kwa kubwabwaja maneno

‘Amani, utulivu, usalama’ #Ujumbe wa Iran kwa mawaziri wa ulinzi wa SCO– Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani amesisitiza kwamba itikadi ya ulinzi na usalama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejikita katika kutafuta amani, utulivu na usalama kwa nchi

#Ujumbe 👇📍🙏.
"The perfect woman, you see is a working woman; not an idler; not a fine lady; but one who uses her hands and her head and her heart for the good of others " Thomas Hardy.

#AyaYaSiku #Ujumbe: #KujitengaNaDhambi
#Zaburi 103:12 Kama Mashariki Ilivyo Mbali Na Magharibi, Ndivyo Azitengavyo Dhambi Zetu Mbali Nasi.

#UJUMBE #KUNTU
Maisha ya hisia yanawatesa watu wengi kuliko maisha ya uhalisia.*
Mwenzako akiondoka akachelewa kurudi unahisi kachepuka,moyo unakuuma kweli! Kumbe yawezekana kala nauli akitegemea kusongesha, ikagoma. Shukuru kuna msamalia kamsaidia.
Unampigia simu hapokei unahisi anacheat unaumia kweli! Kumbe maskini ya Mungu wakati unampigia simu ilikuwa kwenye silent, amekuja kuiona hana salio hata la *kubipu
Unamsalimia haitiki, unahisi amekudharau unaumia kweli! Kumbe ni kiziwi.
Unamuomba pesa anakwambia hana unahisi amekunyima unaumia kweli! Kumbe ni kweli hana hata jero.
Unamuona mwenzako yuko online mpaka saa nane za usiku lakini hachati na wewe unahisi kakudisi, unaumia kweli. Kumbe mwenzako kasinzia muda, ni vile tu alisahau kuzima data!
Unamtumia nauli, halafu haji unahisi amekataa unateseka kweli. Yawezekana hakuja kwa sababu nauli ile amenunua chakula nyumbani maana walishinda njaa!
*Achana na hisia upunguze Kuteseka.
@mapinduzinisasa @AbroadTanzania Hivi tukiachwa tukaandamana kufikisha #Ujumbe wetu kwa serekali na dunia maana #Bungeni hakuna wakutusemea mambo yetu #Tatizo ni nini? Vyombo vya ulinzi kazi yake si inajulikana?Kwanini wakubwa hawa wanaogopa kutusikiliza na watatuogopa hivi mpaka lini 🤔
@IAMartin_ Magu alitumia MAJESHI yote 2015/2020 MUNGU #akaiponya nchi,Siamini sana kama wapo Wazee hawajamuelewa MUNGU aliwatumia #ujumbe gani #Wamesahau ule msururu wa JPM alivyoundoa kwakasi ya #ajabu na mwishowe akamalizia na aliekua kafikia level ya kutamka eti ataenda kuongoza malaika?
Last Seen Hashtags on Sotwe
MGAI(*)(*)filter:videos
Seen from Brazil
verity x mob
Seen from United States
Teenagee()+ filter:videos
Seen from Pakistan
酒井忍厩舎
Seen from United States
djshdw
Seen from United States
GraylogCTF
Seen from United States
anxiouspanda
Seen from United States
minichat (*)()()()()()*****filter:native_video
minichat(**(**)****)filter:videos
Seen from United States
MGAI
Seen from Australia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers














