Top Tweets for #ushauri
JE,WAJUWA?
Kutembeza gari ikiwa imewasha taa ya mafuta ni hatari kwa gari hiyo.
Siku zote pump husukuma mafuta na hupata moto na hivo mafuta yaliyoizunguka pump ndiyo hupooza pampu hiyo.
Mafuta yakikosekana pump huchemka kusababisha pump kufa au kulipuka kabisa.
#Ushauri Bure

@Roma_Mkatoliki Me naona nakushauri watu wanapoona tukio kama hili wafuatulie hilo gar mpaka linapoishia na kupiga pic ili kupata uhakika sio kulalamika kutojua mtu alipo tuanzie hapo....#ushauri tu mwana wa ukaya

Wakuu! Cholesterol isikieni tu aisee
Juzi Jmos bado nusu iniondoe aisee kikubwa namshukuru MUNGU niko naendelea freshii mpaka sasa🙏.
#Ushauri - Tuwe tunacheck afya wakuu mara kwa mara hata kama unajiona uko mzima wa afya tusipuuzie hili🙏
Wakati mwingine ntaelezea ilivo nitokea

Haya ni aina ya mafuta ya brake yanayotumika kwenye magari mengi.
🚘
KUMBUKA↪ kutokuchanganya mafuta haya, soma maelekezo juu ya kifuniko cha Master cylinder ya gari yako kabla hujaongeza/kutumia.
#Ushauri bure

#Ushauri:
Kama unamiliki SUBARU hasa FORESTER. Kagua oil kila wiki, tumia oil sahihi, hakikisha mfumo wa cooling uko sawa, badilisha CVT oil kwa wkt na tumia fundi mzoefu wa Subaru. Achana vishoka.
Forester ni gari imara, salama na lenye uwezo mkubwa ukilitunza
Happy New Year🙏
DM zimeweka vichaa na vibaka wote nje. Uzuri mimi sijui kuzama kwsbb najua madhara yake yanaweza kutumika kunihukumu siku nikiwa kiongozi mkubwa wa nchi hii.
#Ushauri:Kama una ndoto kama yangu jiepushe na kuzama DM kizembe kizembe kama Mchawi wa Mbutu
@EngMapundajr Kabla hujafanya maamuzi ya ununuzi wa gari jaribu kupata ushauri kwa wabobezi hizi mambo. Sikia nikwambie leo epuka ushauri wa vijiweni wapo watu watakushauri kwa sababu wao wanalia pekee yao wanataka nawe uwape kampani ktk vilio vyao.
#Ushauri wa Mwisho🙌
@SalimuIbwe #Ushauri, siku nyingine ma bus ambayo hayaanzia unapoanza safari jitahidi usikate mtandaoni, nenda kakate kwa wakala wao, naamini aliyekuacha sio konda ni madereva, sometym madereva abiria wa njiani ambao hawapandii stand sijui wanawachukuliaje
#Ushauri
Biashara ya bidhaa kama Nguo, Simu, magari au pikipiki, accesaories na bidhaa nyingine nyingi.
Ukipost biashara yako bila bei mimi sikuchukulii serious na nakuhakikishia unakosa wateja wengi
📌Kuna mtu atakuja kusema kwenye comment kama sio mnunuaji sio mnunuaji tu🚮
💔Mke wangu kila siku anamzungumzia mwanaume wa kazini akisema ni rafiki yake.
Je, kweli mwanaume na mwanamke wanaweza kubaki marafiki tu bila mipaka ya kimapenzi kuvukwa?
Je, nifanye nini—nimwonye au nimzuie kabisa?
https://t.co/i9Tadlh0A9
#Mahusiano #Ushauri #Ndoa
Vitz ya zamani (1998-2004)
Vitz mpya (2005+)
Wengi hawajui kutofautisha ENGINE na matumizi yake
Ktk aina 10 za Engine, kuna aina moja (1KR-996cc) ndio PISTON 3, nyingine ni piston 4
#Ushauri:Masafa/mizigo usitumie Piston 3
Piston 3 Piston 4

Sikia nikwambie!
Kwenye kila mipango yako unayopanga kwenye uhai wako, kumbuka kuweka na kifo kipo.
#Ushauri wa Mwisho🙌

@advocate_silayo Kwa magari hayo hata sisi mafundi haturusiwi hata kuyasogelea karibu,ila tupo SITE kwa yale from Japan & European
#Ushauri wa Mwisho

@ShirimaYvonne Wasafiri hula hotelini tu siyo ndani ya basi,ukiona basi lenu wanalia chakula ndani ya basi ongeza nguvu yakuomba pesa kwa wafadhiri.
#Ushauri wa Mwisho
@Eng_ZSamsoni Mke si mali ya familia yake kama yuko real angempa toka mwanzo hajaolewa.
#Ushauri wa mwisho🚶♂️
@MariaSTsehai @mangekimambi Tukiwashe Tik tok shangazi kule ukombozi unahitaji post kwa siku 10
Tumelala sana kule
#ushauri
#NRNE
Last Seen Hashtags on Sotwe
foodie
Seen from United States
giantman
Seen from United Kingdom
PUSSYEATING
Seen from Spain
momson() +filter:native_video
Seen from Norway
Umgebung
Seen from Germany
zoophilist
Seen from Switzerland
S2G
Seen from Vietnam
猪m
Seen from United States
구닝
Seen from Korea
ExcisePolicy2026
Seen from Israel
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.1M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.9M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61M followers

X 
@x
60.8M followers










