Top Tweets for #wakunga
Heri ya Siku ya Wakunga Duniani!
Wakunga ni mashujaa wa afya wasiotambuliwa mara nyingi—wa kwanza kuitika dharura, watoa huduma, na mhimili wa afya ya msingi, hasa vijijini na maeneo yaliyotengwa.
Tuwekeze kwao, tuwatambue
#IDMW2025 #Wakunga #AfyaKwaWote #RHNK #IPPF

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza bidii katika kutoa huduma kwa wananchi wanaowahudumia.
📍Dodoma-Tanzania
🗓️ Mei 05, 2024

Waziri @umwalimu tunakupongeza kwa kazi muhimu ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona. #AbsaBankTanzania itaendelea kushirikiana na serikali katika juhudi hii. Tunawapongeza pia watumishi wa afya wote wakiwemo #wakunga. @DocFaustine @CEOrtTZ @tba_forbankers @AbsaTanzania
Asante #ABSABankTanzania kwa kuunga mkono mapambano dhidi ya Corona nchini. Mchango wenu ni mkubwa kwa Watumishi wa Afya wakiwemo #Wakunga . Pamoja na uwepo wa COVID-19 ni muhimu kutambua kuwa wanawake wajawazito wanaendelea kujifungua kila siku na wakunga wanaendelea kuwahudumia
Asante #ABSABankTanzania kwa kuunga mkono mapambano dhidi ya Corona nchini. Mchango wenu ni mkubwa kwa Watumishi wa Afya wakiwemo #Wakunga . Pamoja na uwepo wa COVID-19 ni muhimu kutambua kuwa wanawake wajawazito wanaendelea kujifungua kila siku na wakunga wanaendelea kuwahudumia
"Vifo vya watoto wachanga wenye umri chini ya siku (28) vimepungua kutoka vifo 25 kati ya vizazi hai 1000 mwaka 2015/2016 hadi kufikia vifo 7 kati ya vizazi 1000 mwezi machi, 2020". @umwalimu
#SikuYaWakungaDuniani2020

#WAKUNGA Leo ni siku ya Kimataifa ya Wakunga. Hawa ni watu muhimu sana katika kuhakikisha kila mwanamke anajifungua salama. Upendo wao na namna wanavyojitoa katika kuhudumia wanawake wajawazito hauwezi kuelezeka. Tunawapenda na kuuthamini mchango wenu!

#IDM2019 #IDM #DayofMidwives was a great event in #Tanzania. Midwives are improving #maternalhealth in Tanzania. With @TanzaniaMidwiv1 @UNFPATanzania @Atayeshe @ChildbirthSI @umwalimu @UnitedNationsTZ @hashina_b and people of Tanzania. #MidwivesMatter #MidwivesSaveLives #Wakunga

Mheshimiwa @jmkikwete tulifurahi sana kualikwa kwenye mkutano uliolenga hasa huduma za #Ukunga #Midwifery. Ujumbe wetu @ChildbirthSI #Tanzania ni: #Wakunga wote tushirikiane kuokoa maisha ya akina mama na watoto wachanga kwasababu inawezekana." #MidwivesMatter @world_midwives

@jmkikwete @ChildbirthSI was honored to be part of this stakeholder meeting and our entire team shares @jmkikwete's optimism to end unnecessary maternal & newborn deaths in #Tanzania. @StellaMpanda and Mama Olipa represented #CSITanzania. #collaboration #partnership #mamanawatoto #wakunga
@ChildbirthSI was honored to be part of this stakeholder meeting and our entire team shares @jmkikwete's optimism to end unnecessary maternal & newborn deaths in #Tanzania. @StellaMpanda and Mama Olipa represented #CSITanzania. #collaboration #partnership #mamanawatoto #wakunga
Today my Foundation hosted a stakeholder meeting to discuss midwifery as a solution to reducing maternal and newborn mortalities in Tanzania. I am hopeful that together we can end unnecessary deaths amongst pregnant women and newborns.

.@Jhpiego it is true, we need more #midwives across sub-Saharan #Africa. Learn more about @ChildbirthSI #Tanzania #CSIMidwifery robust program and let's join forces to save lives of #MomandBaby. #wakunga #watoto #wajawazito #afya #hudumabora #jamii
We need more midwives! In Ghana, these midwives receive essential training through a master mentorship program led by Jhpiego & Ghana Ministry of Health. They will apply the skills they learn in helping future mothers & babies lead healthy lives—before, during & after childbirth!

.@StellaMpanda #Tanzania's #midwifery guru, master #midwife trainer, @ChildbirthSI Cofounder and #CSITanzania Country Director, was warmly greeted by former students as hundreds celebrated #IDM2018 in Morogoro w/local & international partner organizations. #CSIMidwifery #Wakunga.

#Wakunga oyee! In my youthful years, I trained countless of #midwives in #Tanzania, many of them working across the country today. It was a remarkable experience to join colleagues & my students on #IDM2018 in Morogoro to rally for midwives, safe motherhood. #SaveMothersofAfrica

Good morning from #Morogoro where we will celebrate #IDM2018. Glad to be here with @WRATanzania @UNFPATanzania @WizaraYaAfya @umwalimu and many other partners championing for #midwives. #afya #Wakunga #Tanzania #SaveMothersofAfrica

#CSITanzania efforts to retrain licensed #midwives in #Tanzania show a significant impact in improving quality and respectful #maternity care in health facilities. #CSIMidwifery giving back #wakunga their place in saving lives of #MomandBaby. #afya #IDM2018 #SaveMothersofAfrica

It was a great interview! Asante sana Albert Kilalah ku support nguvu za #CSITanzania kuboresha #afya na huduma kuokoa maisha ya wamama, watoto, na vijana. #collaboration #mediainhealth #MaternalMonday #Tanzania #Wakunga #RMNCAH #EWECisME. #CSIImpactingLives in #Africa. https://t.co/XvWWCvOwJz
.@AKilalah thank you for sponsoring @ChildbirthSI's upcoming fifth anniversary (Friday, April 6 at Serena Hotel in Dar, #Tanzania) by interviewing @StellaMpanda, #midwifery guru & #CSITanzania Country Director. #CSI5Anniversary #CSITanzania #CSIImpactingLives #CSISponsor #CSI2018

Shirika la Childbirth Survival International @ChildbirthSI lapania kuokoa maisha ya mama mjamzito. Habari via @VijimamboBlog. @StellaMpanda #CSITanzania Country Director. #Tanzania #CSI2018 #maternalhealth #Swahili #Afya #Wakunga https://t.co/ffgyANbans.

On #MaternalMonday, we share this 2016 blog @PamojaBlog that highlights @ChildbirthSI efforts in strengthening #midwifery capacity in #Tanzania to save lives. #momandbaby #maternalhealth #wakunga #uzazisalama #CSITanzania #CSIMidwifery #Kiswahili #CSI2018 https://t.co/bgayeKzwtQ
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.7M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers


















