@9m65zxsz5n@PMadeleka kwanza lazima ufahamu jakaya na lowasa walikua ktk serelika ya awamu ya nne, isicho kifahamu wazo la shule za kata nj ilani ya wamu ya tatu ya benjamini ila utekelezaji wake ulikuja kufanyika awamu ya nne ya jakawa, sasa utakua umeelewa
@PMadeleka Ben, nitamkumbuka kwa mambo matatu 1,sera ya ubinafsishaji.haikua mbaya ila sasa utekelezaji wake ndio ulileta shida 2 kuunda mfuko wa barabara na tanroads kwa hili nampongeza sana Benjamin former president aliwaza vema 3 kuunda TRA 4kuanzisha shule za kata lilikua wazo lake