Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema Tanzania haiwezi kupata maridhiano ya kweli na amani ya kudumu bila kuwepo kwa ukweli, haki na uwajibikaji kuhusu matukio ya kisiasa yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.
Mwabukusi amesema matukio hayo yalihusisha ukatili, vitendo vya kifashisti na mashambulizi dhidi ya raia wasio na hatia, akisisitiza kuwa historia itaendelea kuyaandika bila kujali jitihada zozote za propaganda au upotoshaji wa ukweli.
Amesema kinachotia wasiwasi zaidi ni kuona baadhi ya watu wakiendelea kutumia propaganda na simulizi zinazolenga maslahi binafsi badala ya kufanya tafakuri ya kina kuhusu yaliyotokea na kutafuta njia ya haki ya kuponya majeraha ya taifa.
“Ukweli unaweza kucheleweshwa, lakini hauwezi kufunikwa milele. Tukishindwa kujirekebisha, kujikosoa na kujenga taifa letu juu ya misingi ya haki, ukweli na uwajibikaji, tutatawaliwa na mazingira ambayo sisi wenyewe tumeyatengeneza,” alisema Mwabukusi.
Kiongozi huyo wa TLS kupitia andiko lake kwenye akaunti yake ya Mtandao wa X, amebainisha kuwa jamii ya kimataifa na nchi jirani zina wajibu wa kimaadili wa kuikumbusha nchi yoyote wajibu wake wa kutawala kwa kuzingatia sheria, kulinda wananchi wake na kuheshimu haki za msingi za binadamu pale inaposhindwa kufanya hivyo.
Mwabukusi kadhalika ametoa wito wa mshikamano kwa wote wanaotafuta ukweli na haki nchini, akisema njia pekee ya kulinasua taifa kutoka kwenye mkwamo wa sasa ni kupitia ukweli, haki na uwajibikaji, huku akionya kuwa bila misingi hiyo hakuwezi kuwa na maridhiano ya kweli, amani ya kudumu wala taifa lenye umoja, heshima na utu.
“Tukishindwa kujidhibiti wenyewe, tutadhibitiwa. Historia imeonyesha funzo hili mara nyingi,” alisisitiza.
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO.
Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa Kujitawala.
Ni huzuni sana kwamba kwasasa Taifa letu limepoteza tunu zote na tunawekeza katika Chuki,Ulaghai,vitisho na kutowajibika.
Hapa Bunge la Ulaya limechukua jukumu la vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni aibu lakini ni bora na hakuna ubaya Baba wa jirani anapoingilia kunusuru familia iliyotelekezwa na Baba asiye jali.
Rafiki wa kweli ni yule akufaaye wakati wa dhiki.Hawa ni Marafiki haswa wa demokrasia na Utawala bora.
Tumechelewa sana ila muda bado upo Tujisahihishe kwa kufanya linalohitajika.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo njia ya kweli na Sahihi ya kuliponya Taifa.
BAK Mwabukusi.
ADVOCATE.
Tyrant @SuluhuSamia & her murderous gang will never go unchecked!
The 🇪🇺 Parliament has adopted a resolution on the draft Commission implementing decision on the financing of the annual action plan in favour of #Tanzania for 2026.
#Tutaelewana tu!
https://t.co/om3iy6ZVGB
You cannot kill your people and lead them by force then expect the world to look away. NO
Today, the European Parliament said NO to business as usual. MEPs objected to the proposed €156 million EU funding package for Tanzania, stating that concerns raised since November 2025 remain unresolved.
They cited the fraudulent October 2025 elections, the violent suppression of demonstrations, the killings, the arrest of hundreds, the lack of accountability, and Tanzania’s repeated refusal to allow a European Parliament human rights delegation to visit. Kama hamuwataki nchini kwenu wachunguze, kwanini mnataka pesa zao? Who are you- are answering you.
The message is clear: human rights, democracy, and the rule of law matter.
Justice may be delayed, but the world is watching. While you are digesting responds from International communities, release Tundu Lissu NOW.
🇹🇿🙏🏾🇪🇺
Kiswahili:
Huwezi kuwaua watu wako halafu eti uwaongoze kwa nguvu na kutarajia dunia inyamaze. Haiwezekani.
Leo, Bunge la Ulaya (European Parliament) limesema HAPANA kuwategemea Kama business as usual. Wabunge wa Ulaya wamepinga pendekezo la kutoa euro milioni 156 kwa Tanzania, wakisema kuwa wasiwasi walioueleza tangu Novemba 2025 bado haujapatiwa ufumbuzi.
Wametaja uchaguzi wenye dosari wa Oktoba 2025, ukandamizaji wa maandamano uliofuatia, mauaji, mamia ya waliokamatwa na kuteswa, ukosefu wa uwajibikaji, na kukataliwa mara kwa mara kwa ujumbe wa Bunge la Ulaya wa haki za binadamu kutembelea Tanzania. Walioulizwa-Who are you? Wanawajibu sasa. Yaani uwakatalie kusaidia kupeleleza kupata ukweli ila unataka pesa zao? Diplomacia haindeshwi kiubabe. Wote wanaotetea eti nchi iendelee bila uwajibikaji ya yaliotokea, na wao mikono yao ina damu.
Ujumbe ni mmoja: Haki za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria, na utu wa binadamu ni mambo yasiyoweza kujadiliwa.
Mkiwa mnatafakari responds za international communities, Mwachieni Tundu Lissu sasa.
Truth matters. Accountability matters. Human dignity matters.
#JusticeForTanzania #freeTunduLissu #HumanRights #Accountability #TruthWillPrevail
https://t.co/DwGOyr2N4I
Geminiani Shirima mkazi wa Arusha amependekeza rasimu ya katiba ya Jaji Warioba ingechukuliwa na kuwa katiba ingewasaidia sana wananchi.
Amesema hayo kwenye kipindi cha #KatibaKitaa juu ya uelewa wake wa masuala ya katiba.
Mahojiano kamili tembelea Youtube chaneli ya Wakili TV.
Check this out!
#Tanzania needs a reset and until the illegitimate govt of Samia Suluhu continues with the oppression all its democratic partners have to demand accountability and review its relations like the US! Stop enabling a murderous regime! Thank you @SenatorShaheen for leading on this!
https://t.co/QFjedhvnHt
We commend Senators @SenatorShaheen and @SenTedCruz for their leadership in advancing S.4577 through the Senate Foreign Relations Committee.
This bipartisan bill sends a clear message that human rights violations, election rigging, abductions, killings of innocent civilians during Tanzania’s October 2025 sham elections, and the suppression of religious freedom cannot go unanswered.
Accountability must be at the center of U.S.-Tanzania relations.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #HumanRights #Tanzania #ReligiousFreedom
@UnderSecStateP Why does the United States government continue its cooperation with the government of Tanzania, which came into power by spilling the blood of thousands of Tanzanians and killing pregnant women and children?
🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment belongs to every mother who buried a child, every family still searching for answers, every victim of violence, every religious leader who stood firm, every journalist who spoke the truth, every activist who refused to be intimidated, and every Tanzanian who never stopped believing that accountability matters.
This is not the finish line.
But today, the world heard Tanzania.
Today, truth prevailed over propaganda.
Today, hope prevailed over fear.
Today, we moved one step closer to justice and accountability.
To everyone who prayed, advocated, testified, contacted congressional offices, shared evidence, and refused to look away-thank you.
The journey continues, but today we pause to thank God.
Justice delayed is not justice denied.
Safari bado inaendelea- ila leo haki imeshinda💪🏽
Thank you also to all senates and their staffers that heard our cries.
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
🚨 HABARI NJEMA: TUMEPATA USHINDI LEO!
Hatukukata tamaa. Hatukukaa kimya.
Leo tumepiga hatua moja muhimu kuelekea haki.
Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani (Senate Foreign Relations Committee) na sasa unasonga mbele katika hatua zinazofuata.
Ushindi huu ni wa kila mama aliyempoteza mwanae, kila familia ambayo bado inatafuta majibu, kila mwathirika wa ukatili, kila kiongozi wa dini aliyesimama imara, kila mwanahabari aliyesema ukweli, kila mwanaharakati aliyekataa kutishwa, na kila Mtanzania ambaye hakuwahi kuacha kuamini kwamba uwajibikaji ni muhimu.
Huu si mwisho wa safari.
Lakini leo, dunia imeisikia Tanzania.
Leo, ukweli umeshinda propaganda. (Niliwaambia ile picha ya mkono wa bendera ya Tanzania ikishikana na ya marekani yaliyochapishwa na hayo magazeti yaliyonunuliwa ni propaganda- leo si kimewaka?)
Leo, matumaini yameshinda hofu.
Leo, tumesogea hatua moja karibu zaidi na haki na uwajibikaji.
Kwa kila aliyeomba, aliyehamasisha, aliyetoa ushuhuda, aliyewasiliana na viongozi wa Marekani, aliyeshiriki ushahidi, na aliyekataa kugeuza macho yake pembeni -asanteni sana.
Safari bado inaendelea, lakini leo tunasimama na kumshukuru Mungu.
Haki iliyocheleweshwa si haki iliyonyimwa.
Now muachieni na Lissu
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
#justiceforTanzania