Samia Amesababisha Familia ngapi zikose ndugu?
Samia amesababisha watoto wangapi wakose baba? mama? au walezi? na kuwafanya wawe yatima?
Samia anadhani kuwa wale watanzania zaidi ya 10,000 ambao wengi wao walikosa hata cha kuzika, wakazika nguo. kwamba wanaweza kusahau, never.
Hili ndio kanisa la kusali na kutoa sadaka ya KUJIMALIZA.
Haya mahubiri huwezi kuyasikia akihubiri kibaka kama MWAMPOSA.
Leo nchi nzima tunasali kuwaombea wapendwa wetu #Mo29#TukutaneParokiani
Repost 200
@Innocen89950594 Ni kweli baadhi ya watawala wa kikoloni walitumia dini kwa maslahi yao ya kisiasa, lakini tusichanganye makosa ya watawala na asili halisi ya Neno la Mungu ambalo lilikuwepo kabla yao na linadumu milele.