Nawatakia Waislamu wote kheri na mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atuongoze na kutusimamia kwenye Ibada hii muhimu katika imani, aipe kibali cha kheri na kuipokea.
Katika Ibada hii na kama ambavyo tumeendelea kufanya wakati wote, tuendelee kuitunza na kuiombea nchi yetu amani. Tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu atujaalie kila mmoja kwa nafasi yake kuendelea kutekeleza wajibu wake kwa uadiliu, kwa haki na kweli; na matokeo ya maisha na kazi zetu yawe yenye kumpendeza Yeye, na yenye kulifaa Taifa letu na watu wake.
Ramadhan Mubarak.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kwa niaba ya Mwenyekiti wa AU, Rais wa Angola Mhe. João Lourenço katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 16 Februari, 2025. Aidha, Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uongozi wa Umoja wa Afrika (Bureau of the African Union Assembly) kwa mwaka 2025.
So BBC walitaka tuuane siyo, walitaka kuona chadema wanaichoma hii nchi? Adui amepigwa kisawa sawa leo.
Tanzania itajengwa na vijana wenye Upendo.
Mama tuongoze njia, Mtaa umekupa kibali.
TUMEAPA KUILINDA NCHI YETU, RAIA NA MALI ZAO.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi John Makuri amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kwenye Doria za miguu na magari
Kauli mbiu ya #WikiYaAZAKI2024, ambayo ni "Sauti, Dira, Thamani", itatoa fursa nzuri na mwongozo wa mazungumzo yenye tija na ushirikiano katika sekta zote muhimu. Kauli mbiu inazingatia ukweli kwamba licha ya majukumu yetu tofauti, mazingira tofauti, mitazamo, mafunzo tofauti, wote tuna lengo kuu moja tunalofanyia kazi ambalo ni kuchangia maendeleo ya nchi yetu. @justicerutenge
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya #WikiYaAzaki2024 na Mkurugenzi Mkazi wa Asasi ya CBM Bi.Nesia Mahenge amesema kuwa imekuwa utamaduni wa Kawaida kukutana Kila Mwaka kwa lengo la Kujifunza kama Sekta ya Asasi za Kiraia,kuangalia changamoto wanazokutana nazo,na vitu gani wanaweza kuvifanya kwa kushirikiana pamoja.
#SautiDiraThamani
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
https://t.co/4ChJCBoRgG.JA.9/259/01/B/14
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jengo la Kamanda wa Polisi mkoa Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 14 Julai, 2024. #MamaYukoKazini#DiraYaTanzania
Moja ya taarifa nzuri na kufurahisha uliyotamani kuisikia muda wake umefika.
Tukutane kwenye Simba App leo saa 10:00 jioni.
Piga *149*01# kununua Simba Bando na upate mastori bure. #WenyeNchi#NguvuMoja
Commencing the 2024 Summit of the Future Youth Consultation
Young people in 🇹🇿 are the forefront in shaping the future they want💪
#OurCommonFuture#ActNow#SDGs2030