Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti wa @Gcla1895 Daniel Ndiyo akizungumza na Watanzania kupitia Vyombo vya Habari juu ya namna wanavyoweza kunufaika na kilimo na ufugaji wenye Tija kwa kutumia Maabara za Mamlaka ambazo Serikali imewekeza ilikusaidia uchunguzi wa mazao yanayozalishwa
Wananchi na Wadau wa Kilimo wanaendelea kutembelea Banda letu katika maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Malecela Dodoma
Mkulima karibu sana uweze kufahamu jinsi uchunguzi wa maabara unavyowezakuleta tija kubwa katika shughuli za kilimo.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Kanda ya Kusini imeendelea kutoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka kwenye Maonesho ya Nane nane yanayoendelea katika viwanja vya Maonesho ya Kilimo Ngongo mkoani Lindi.
🚨 Newcastle United to sanction sale of Bruno Guimaraes to Arsenal for £75m. #AFC started lower, #NUFC wanted higher but compromise in process of being sealed to grant 28yo Brazil int’l midfielder desired move. Lyon entitled to 20% of profit @TheAthleticFC https://t.co/e1rrfvZTMS
Wananchi wanaendelea kujitokeza kutembelea Banda la @Gcla1895 katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Dkt. John Malecela, Nzuguni, Dodoma.
Mamlaka inatoa Elimu na Huduma mbalimbali kwa wananchi kama vile Usajili na Utoaji wa Vibali vya Kemikali.
🚨 NEGÓCIO FECHADO! 🚨
Arsenal fecha a contratação de Bruno Guimarães por quase R$ 550 milhões
#FutebolNaESPN#PremierLeagueNaESPN
https://t.co/rvNiwKto7x