Sometimes si eti we are Soo happy in a relationship , ni ile unashangaa mkiachana nani ataanza talking stage tena, na maswali za what's your favorite colour, unaona hio upus yote utarudia na ni boring itakicost time , mtu anaona tu aende akasimpie mluhya wake mweusi waendelee.🥹
One year after my waru babe aliniacha ndio nimekaa chini nikaona yenyewe nilikua nabebwa ujinga😂😂what do you mean hauvai panty ati juu inakukata na every Friday mkona chama kutoka 6pm-10pm na after hapo simu yake ilikua inaisha moto abruptly mteja🥲🥹eloi eloi hapo nilichezwa
Mimi naonanga shetani anafaa atupee his side of the story , juu kwa the whole bible sijai ona mahali aliua watu kama Mungu. Ata unaeza pata shetani ndio mungu 😂😂
I never understood how highschool , vitu ka enta ,scouts zilikua run na only people who went home to Nairobi shule zikifungwa ,ungepata CU imepewa mtu wa na uko busia ndani lakini kitu yeyote ikona action ama anasa "watu wa Nairobi" na Bado mnadhani kenya inaeza kua na equality
Mimi naye I give up on things haraka , tuseme tunapanda metro hapo archives then unapanda gari nika unakimbishwa I can easily just go down na i order Uber , naonanga some things nika it's wasted efforts ama ujinga 🥲
Nowadays ladies wamekua Soo cheap , I have had like 5 exes at this tender age of 22 na kitu funny ni all of them tulianziana online na wote we fvcked on the same day we physically met , so it's either wako cheap ama am too damn handsome ☺️😁but a win is a win right
KCSE main papers zilianza Leo na ata hatuna habari, back in the days times za Matiangi na magoha kila mtu ata mtoto alizaliwa jana used to know there is exams in the country , sahii ata 90% of Kenyans hawajui who the Cs for education is.🥲
Msichana unataka nikutumie fare ya 1500 na unakuja kwangu, kukunywa maji yangu , kukula chakula nimebuy na pesa zangu, kuoga na maji na stima nalipia bill, kulala kwa kitanda yangu na hatujaoana , aiii hapana tukue na heshima tafadhali ko wina goma we, utleast tafuta fare nkt😔🥹
Hizo siku ulikua unapata msichana anaitwa Kevin mwangi🥲 alafu alikua msichana kwa x lakini ngulusumu in real life ,ata ni receipts zangu hazikuwahi tokea nikiitisha ,juu watu wangecheka sana 😂
Niliteseka sana highschool , nakumbuka time Fulani ya music festival in 2019 nikiwa form 2 niliapproach madem watatu wote wakashikana kuniangushia bonge la matusi za how ugly I was , na hapo ndio king of kunyonga alizaliwa nilikua after class saa nne na wasee wakiwa enta najitibu
Ngoja so nowadays you guys mnaorder online nika unaitisha chakula na Uber 🥲 nimepewa site Fulani, napata dem Fulani nilikatia last week akanikataa amejianika uko na ameeka Hadi location na price 💔 wueh enyewe tuko end times mailord
Nikona dem ako 4years older,she is pretty sweet to me, ananitreat tu fiti but imefika place anakaa nikaa anataka kuniown or sth anakaa mzazi akitaka niende pahali na yeye nika ananilazimisha , hivi ndio nyinyi hutaka ama ananitumia vibaya cause honestly that's not love 🥲