@privaldinho Unatumia NGUVU kutuaminisha ujinga Singida ya Leo ni tofauti na Singida zilizopita kwanza tifautisha hapo? Pili hakuna biashara yoyote imefanywa ya mchezaji kutoka Simba akauzwa kwenye hii timu ya Singida ya sasa, Mwenda tunajua mlichofanya
@privaldinho Ukiwa Yanga Akili inapotea mazima Singida ya Msimu huu awali ilikuwa ni Ihefu kabla msimu huu haijabadili jina. Sasa hizo mara 11 Simba alizocheza naye zimetoka wapi?
@Ntobi_ Mnatupa wakati mgumu sana tunapowaona mnadhalikishana Leo wakati juzi mlikuwa mnatushawishi tupende chama msiposoma gape CCM itabeba vijana wengi sana kutokana na mienendo yenu hii