Nje ya mtazamo wa dini; wewe kwa uelewa wako unaamini chimbuko halisi la binadamu/uhai ni lipi mkuu?
Unaamini dunia ilianzaje? Asili ya dunia ni nini mpaka binadamu tunaishi?
Nataka kujifunza kitu.
Imetumika nguvu kubwa saana kuwafanya binadamu waamini ibada ni siku moja tu kwa week.
Haiwezekani unasema Mungu ana nafasi kubwa kwenye maisha yako ili hali unaaena kuabudu kwa week mara moja.
Ila ibada ya kazi unaifanya hadi siku sita!
Wewe ni mtumishi wa dunia au Mungu?
@Thommunkondya Tamanio la muda mrefu la wananchi wa Tanzania ni kupata katiba mpya natumai utafutahi sana ikipatikana kama ulivyofurahi kada mwenzio kupata mtoto ndugu mheshimiwa.
Claude & ChatGPT now have access to millions of faceless YouTube channels..
So I created 3 advanced prompts that will:
> find you untapped niches
> create you a script writing profile
> and generate viral ideas
Retweet + comment "PROMPTS" and I'll send you the free doc (must follow)
@chapo255 Ila kiuhalisia Bibo na Baghdad muda ulishawatupa mkono there's no way wanaeza fanya kitu kikabamba generation hii kama kipindi walivyokuwa wa moto.