Dear hustle, ni wazi penzi lako ni safi
Na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni ki-smart baby
Kipi sipati? Ninahiti kwa chati waliotashtiti mziki haunilipi
Wako wapi? Waniache, mkate nipate baby
Musa alikabili bahari mbele, jeshi nyuma, lakini Mungu akafungua njia. Usikate tamaa unapozingirwa; ushindi wako unaweza kuwa karibu kuliko unavyofikiri. Imani yako itakuvusha salama. ๐๐ฅ
1 Wakorintho 11:24,26-27
naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
Morning my Friends โค๏ธโ๐ฉน ๐งก