Unaumia watawala (Viongozi) wakitukanwa.
Lakini huumii watawala (Viongozi) wakiua watu, wakiteka na kupoteza ndugu zetu!!
Yani kwako wewe unaona neno
MS3NG3/ FL/ MJINGA
Ni linauma saaaanaaa kuliko uhai wa mtu uliopokonywa kikatili!!🤷🏿
Yaani Unamuona anayetukana hana maadili anakosea na unaamka kumkemea!!
Lakini unawaona wanaoua na kutesa watu wana maadili na huwakemei bali unawapigia makofi na hutaki wasemwe!!
Wanaoiba pesa zetu za kodi na rasilimali zetu na kujitajirisha wao na familia zao….
hayo kwako ndio maadili!!!
Ila wakisemwa wakifokewa wakitukanwa wakiambiwa…..huyo anayewaambia ndio hana maadili!!
WEWE NAYE MAMBEGESE TU!!