@tylosin_226@EsirEid hata sisi Afrika tunaona wenyewe kwa wenyewe. mbona wao hawa lalamiki.?? umepewa mabinti wa kuendana nao unataka wa Oman, UAE, kuwait. Afrika wanawake wapo kwa mafungu kumi mia. mabinti wanapanda baiskeli, wewe unataka wa Range tuna force vitu havina maana.
@Begasheki1390@EsirEid Mzungu yupi anakubali kua sawa na mtu mweusi.?? nitajie nchi moja tu ya ulaya, marekani, Asia au amerika kusini. ambao wanasema wapo sawa na mtu mweusi
@mangekimambi me huwa si sikilizi mwanamke kwenye mambo muhimu. kwasababu mnaendeshwa na hisia wewe pamoja na kimama wote mnaendeshwa na hisia. hamchekani
@ercurry_ .. ipo hivi damu yoyote ni najisi ivyo basi. mwanamke amesamehewa kufanya ibada za lazima (faradhi) kama swala,funga, au kwenda kuhiji akiwa period. Na hata mumewe haruhusiwi kupiga mzigo akiwa katika hali ya period. mume aki lazimisha anapat dhambi. Nikama favor wamepewa