@padrinocaesar@Sativa255 Fanya kama unasearch kitu kuhusu maandamano harafu like hata post moja tu, baada ya hapo zitakua zinakuja content za aina hio tu
@FamWorld2025@misshuwely@mfinanga_rm Yaap, kuna dada mmoja kwenye podcast ya 'the no trolling podcast' alisema men don't love women as how we are as women' hapa ndio nmeprove.
Episode ya 72 mwishon mwishon