@edduh_the1@mohammed_z72226 Yeess he's a good leader 💯 sikatai
Bit hii game ni chafu sana bro😂😂
Ata huyo sifuna mwenyewe anajua..
We yaani ata ushasahu venye walikuwa wanatesa Rao jameni na hii kiti😂😂
@edduh_the1@mohammed_z72226 Bro unajua hao watu unaita ''goons"ndio hukua na kura 😂😂
We inafaa uingie in one active political mobilization class ndio utaelewa
@edduh_the1@mohammed_z72226 Bro lakini mbona unabeahve kama hujui siasa ya kenya manze
Politician mgani hana goons hii kenya???
Kuanzia Raila, Ruto ata the current gov Saks ndio ako nao multiple mzee😂😂