@Joblube4135261@HecheJohn Na naiona Kenya ikiwa kama sudani soon tuu Sababu mwenye nguvu ndio anaishi Kenya ,wanyonge hawawezi na GVT pamoja na vyombo vya ulinzi vimepoteza power,madhara yake ni anguko la HISA ,wameuza nchi bila kujua au kutathimini baada ya miaka kumi watakuwa wapi!
@Joblube4135261@HecheJohn Sitaki kuamini sana huko lakini kitu ambacho sitakani Kwa nchi yangu na kibaya Kwa uchumi wetu na nirahisi kuharibu hata hapa tulipofika kiuchumi ni ile historia ya Libya kujirudia kwenye nchi za afrika mashabiki na hii Kenya imeingia ,uchumi wao unashika kiwango Cha rami.
@Joblube4135261@HecheJohn Nakumbuka nikiwa mdogo wakati Wa kampeni CCM alikuwa anatengeneza barabara na wengine na wengine wanachimba mashiko ya nguzo za umeme na nyaya zikarundikwa at the same time CDM wakaja wanapita kwenye barabara ile wakaja kuomba kura ,so 1 timing ,2 building a trust.
@Joblube4135261@HecheJohn hizo mambo mmeanza kitambo sana ,kiufupi hakuna shortcut pambaneni kiume na mkubali kusuka upya chama.hizi maneno hazishindanishwi na vitendo Sababu mwisho wasiku sisi wananchi hatuwezi kusoma ,Kupataumeme ,barabara ,ruzuku ,afya n.k Kwa maneno tuu ,tutahitaji utekelezaji.
@Joblube4135261@HecheJohn Hapa kiukweli watu hawafatilii kabisa mienendo ya nchi zao neda kaangalie aliviacha viko wakati gani na maendeleo yake fatilia Kila sekta Hawa ndio waamuzi wakuu kwasababu wao ndio wanufaika Wa Moja kwa Moja ,
@comanchechiefIV@WHenry96130@godbless_lema hizo ni fahari zake na haziwasaidiii watanzania wote wenye Hali duni ,vingekuwa vya Maana kama vinasaidia watanzania kujikwakua kiuchumi na ndio maana wakati huu siasa za miaka ya 90 maneno kama wazaramo zimepitwa na wakati na sisi tufata wenye uwezo Wa kutekeleza ,no shortcut
et tujitokeze Kwa wingi alafu yeye yupo pekeake na huwenda siku hiyo asiwepo na yeye mda wowote pakichafuka anakwea pipa anaelekea zake Belgium alafu anatuacha tunahangaika wenyewe na NCHI YETU ,sisi oktoba 29 tunatiki.
#kurayakwanzakwaSamia