@munyamambogo Ustaarabu wa standi hakuna pale labda kama soko la machinga, matapeli na majizi sawa ila kama ni standi pamefeli 100!
Leo wasafiri ni 10% waliobaki wabangaizaji
@earadiofm Kituo kilichojaa wahuni na wapiga debe angetueleza hao wahuni na wapigadebe wanawavuta na kuwasonga abiria anawapeleka wapi kurudishe heshima ya kituo hicho kwa wabiria ? Watu wamekimbia hapo kwa uhuni uliopo
@MwananchiNews Swali la kukamilika kwa uwanja halihusiani na sababu ya kuchezwa mechi ya Yanga na Simba , waziri hajajibu sababu za mchezo huo kutochezwa machi 8