@k_mjege Kikubwa wanalipwa mishahara hakuna tabu.
Maana mtoto akiadhibiwa mwalim anashtakiwa na kuachishwa kazi,sasa mwalim gani mwenye hofu ya kukosa kazi yake amsurubushe mtoto oale anapofeli?
Mfumo uliowekwa na wazazi walim tunapita humohumo kikubwa mwisho wa mwezi tunaenda kuchanja.
Kule facebook machawa uchwala wamefungua account mbilimbili ili kupush ajenda za kimama.
Unakuta mtu mmoja ana account kama sita hivi lengo ni kusifia mama.
Mama akiona ivo kichwa kinavimba akiamini ana watu.
Samia kama amkupanga kufanya mambo haya mpaka mkahusisha madaktari kwa nini mlibadilisha sababu za vifo ?!
Mlitafuta silaha wewe na mwanao
Mkapanga madaktari na hospital kubadilisha sababu za kifo au kuiba miili
Mkachoma maili ya watu