Wanasiasa wanaogopa Taifa lenye vijana wenye nguvu kiuchumi, maana huwezi kuwashawishi na petty issues.
Wanataka vijana wajinga wajinga, wasio na nguvu ya kiuchumi ili wawatumie kwa agenda zao.
Hizi sheria na sera kandamizi sio bahati mbaya.
Serikali inasema vijana tujiajiri ila imejaza vikwazo kibao,. Hata kama unahela zako za urithi ama mtaji umekopa benki unaisha kwenye makato na malipo makubwa ambayo kimsingi hayana mantiki.
Punguza kiburi ulichonacho heshimu kila mtu unayekutana naye, punguza kuongea sana, kuwa mwingi wa kusikiliza, Acha kufuatilia maisha ya watu, jipende kwanza halafu sali sana,fanya kazi kwa bidii mengine muachie Mungu atimize, GM Fam💜
Niulizie kuhusu sky
nina stars kwa macho
Wacha nikushow kitu kuhusu huko juu
It doesn't rain kwa sky
It rains on your way down
Advice:
don't forget to carry an umbrella
on your way up
#BrokenVase
Mwanangu tukiingia ndani alafu wakatae kupunguza mahali, toa zile picha alizopiga akiwa room na mizinga sita na bangi akiwa amevaa vile vichupi vya kwa @bajabiri