Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Olivanus Thomas, ameungana na wauguzi pamoja na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Ludewa katika hafla ya kumuaga rasmi Mganga Mkuu wa Wilaya, Ndg. Stanley Mlay, na kumkaribisha mrithi wake, Bi. Twilumba liwheuli.
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Olivanus Thomas, ameungana na wauguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ludewa kuadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani, iliyofanyika kiwilaya leo tarehe 17 mei 2025 katika viwanja vya hospitali ya wilaya ya ludewa.
Katika juhudi za kutatua changamoto ya upungufu wa madawati katika shule za msingi na sekondari wilayani Ludewa, kikundi cha WhatsApp cha Ludewa kimechangia madawati 86 kupitia harambee iliyofanyika disema 22, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Olivanus Thomas.
Ludewa tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa familia, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wadau wote wa sekta ya habari kufuatia kifo cha Bw. Charles Hilary,