@MagufuliJP ninaomba utume watu wa ustawi wa jamii huko Ukerewe kwendwa kufanya utafiti kama kuna watoto yatima waliofiwa na Baba na Mama zao kwenye hii ajali. Wanahitaji malezi ya kudumu na sio1 mil. This is EXTREMELY IMPORTANT.
Rufus Phala, anayejinasibu kama Nabii katika kanisa lake la AK Spiritual Church, akiwanywesha sabuni ya kutoa madoa aina ya JIK wafuasi wake nchini Afrika Kusini. Rufus amewahi kuwanawisha wafuasi hao kwa sabuni ya Dettol akisema inawaondolea dhambi.
Mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka Shule ya Sekondari Kalangalala, Jonathan Mkono amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita baada ya kupigwa hadi kupoteza fahamu na mwalimu mkuu pamoja na mwalimu wake wa nidhamu.